Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watoto wa Nairobi karibuni sana JF. Nawaona sasa mmeamua kuikimbia kenya talk mje kenye mega social media.
 
Anyway, let us wait and see how the new guy will do the job. Lakini for now, siko impressed na vile anahandle majukumu zake. Ana ubabe mwingi sana huyo, but hey, who am I to be concerned with your affairs.

JK was my faverite Head of State in this region, I felt sad that he had to go.
 
Your not Tanzanian. Unachukizwa na issues za nchi yetu. Pilipili ya shamba yakuwashia nini.

Hutapenda kwakuwa amekuwa sindano kali kwa wakenya.
 
Your not Tanzanian. Unachukizwa na issues za nchi yetu. Pilipili ya shamba yakuwashia nini.

Hutapenda kwakuwa amekuwa sindano kali kwa wakenya.
Your not Kenyan why start sending Nairobi's pics...This guy just said Julius nyerere was his favourite kwani lazima ukue m Tz ndio nyerere akue ur favourite.
Utaacha u Anal wewe[emoji117] [emoji117] [emoji117]
 


Yah ndiyo maisha hayo huwezi kupata unachokitaka siku zote kwani wengine nao wanafavorites wao ambao pia wangependa aongoze hivyo wkt JPM style favorites pia umefika na baada ya miaka 5-10 watapata nafasi ya kubadilisha tena!
 
I realize that nairobi was planned during colonial era. And now it seem to be very beautiful compared to Dar es salaam. Let me tell onething you nairobian guyz, nairobi its too small campared to dar es salaam now we aim to widen our tamarc roads every roads you saw in dar es salaam are under constructions. I assure you guyz from nairobi never compared dar es salaam with nairobi. Dar es salaam within few years will looklike johannesburg beacause dar es salaam is very wide than you know so i advise go compare your Nairobi with capetown because this two cities have something in common. Dar yetu muiache kama ilivyo nairobi sio hadhi ya dar es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…