Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio nakuonesha miji mipya mingi sana dar hatuna picha
cha kwanza yapaswa walijue hilo......maana tungekuwa na picha.......nadhani wangebaki.....wakizubaa zaidi hapa tu picha za earial view za maeneo hatuna wanashikwa na jazba tukiwa nazo si ndiyo kabisa watakufa
 
wanasura mbovu kama huyo Harmonize wenu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mwanaume lazima kidogo sura ionekane yakiume.....ila si kwa mwanamke....cha ajabu wanawake wenu wanasura mbovu kuzidi wanaume.....

wakenya niaje nyie mlimwagiwa tindikali nyusoni ama
 
The Avic international Africa headquarters towers complex alone,shatters the 2 tower Dar is slum skyline to shame
Whereas Avic complex alone stands tall with 6 mighty towers, Dar is slum CBD has two
Just the other day, Chinese investors want to lift further the skyline of Ngara, a neighborhood to westlands
Hapa tunatesa........
 
The "dream houses" of Dar. Kisha watakuambia hawana picha za mitaa za Dar kumbe mitaa zao ndio mibovu. 80% of Dar estates look exactly like this. Looks like Daadab refuge camp kule kaskazini mwa Kenya
 
Nyingine hii hapa. Cha ajabu ni kwamba watakuletea a million photos of kibera slums wakati the whole of dar (save for the cbd and a few decent estates) is one big kibera. Dae is slum
 
The "dream houses" of Dar. Kisha watakuambia hawana picha za mitaa za Dar kumbe mitaa zao ndio mibovu. 80% of Dar estates look exactly like this. Looks like Daadab refuge camp kule kaskazini mwa KenyaView attachment 784182 View attachment 784182
hii picha unayopost kila siku hapo ni zanzibar utake usitake hapo sio dar es salaamπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hehehe hasira zimekupanda πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani dar sio level yako wala usiifkiri kabisa kwenye kichwa chako
 
Nairobi is lit, a global city, comparable to Joburg, Cairo, name them
what can Dar is slum be compared to? only a fishing village. Suit yourself now.
 
sasa wewe kilaza hako kakijiji kenu ni kakulinganisha na Nairobi?.......sababu 93% ya hako katown kenu ni majengo ya 4-8 floor
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwehu kweli wewe unafkiri hapo magomeni
 
Chooboy njoo Nairobi nikutembeze mitaani ujione apartments za 4-10 floor's uridhike bila kuingia Cbd
Nairobi nimekuja sana ni mji mdogo sana yani sana kwa dar hehehe yani density ya dar kusanya nairobi kampala mombasa kisumu kigali eldoret ndio utaanza kuikaribiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nairobi nimekuja sana ni mji mdogo sana yani sana kwa dar hehehe yani density ya dar kusanya nairobi kampala mombasa kisumu kigali eldoret ndio utaanza kuikaribiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
You are a very good example of a person suffering from inferiority complex. In fact, you should be used as a case study
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…