pitia uko nyuma utaona hio list aliweka...hao kina mzizima ata sijui kakakuona aliwaekaUmesahau mlikimbia humu au kumbukumbu yako ndogo sana hahahhahaha kama uko tayari tuingie kiumeni kelele za nini twende under construction projects hahahhahahah we bongo huijui vzr
3 high rising CBD'S already nyie bado mko kwa ya kwanza. We step 2 steps ahead you guys step one ahead.Kama unajiamini tuanze on going project hapa hatutaki kelele saana kama unajiamini tuingie kiumeni heeehehehheee
Ndio maana nimemuuliza akivaa kofia hua anapigia urefu wake maana ni vitu vinataka akili mambo ya ujanja hatutaki tunataka actual heights hahhahahhahahaBurj ukiondoa mnara bado ni refu...ukitoa mnara uap inakuaje?
uap haijahesabiwa mnara nduguBurj ukiondoa mnara bado ni refu...ukitoa mnara uap inakuaje?
Unakimbia hahaha twende kiumeni tuoneshe on going projects hahahhahah unataka kuleta mzaha hapa3 high rising CBD'S already nyie bado mko kwa ya kwanza. We step 2 steps ahead you guys step one ahead.
Aliekwambia nani haujahesabiwa hahahhaahhah yani uko Kenya na hujui hehehhhehππππππuap haijahesabiwa mnara ndugu
hautawezana kijana mdogo, we are making big strides.Unakimbia hahaha twende kiumeni tuoneshe on going projects hahahhahah unataka kuleta mzaha hapa
Twende kaka kiumeni maneno ya nini ......Hhahhahahahha kazi ipo mm nakwambia leta nairobi mombasa na kisumu bado hamutoboi kwa darpitia uko nyuma utaona hio list aliweka...hao kina mzizima ata sijui kakakuona aliwaeka
unapenda kubisha bila facts....uap haijahesabiwa mnara.....britam ndio mnara wake umehasabiwa juu ni architectural spireAliekwambia nani haujahesabiwa hahahhaahhah yani uko Kenya na hujui hehehhhehππππππ
Unaogopa alaf unajiita dume hahhahahahha mm hua sitaki porojo mm hua tunaenda chaka kwa chaka tunamalizana kiumeni hahahhaahhahautawezana kijana mdogo, we are making big strides.
thats the problem...motochini apa alileta list ya kina kakuona na mzizima akichanganya na kina tpaProjects ina Uzi wake bana hapa tunataka vitu vilivyotayari tu
okay...andika hiyo list yako apa,tuzioneUnaogopa alaf unajiita dume hahhahahahha mm hua sitaki porojo mm hua tunaenda chaka kwa chaka tunamalizana kiumeni hahahhaahha
Nairobi Metro Region - SkyscraperCity go feast your eyes.Unaogopa alaf unajiita dume hahhahahahha mm hua sitaki porojo mm hua tunaenda chaka kwa chaka tunamalizana kiumeni hahahhaahha
Kwani utakubali wewe hahahhahaha kitu kinajionesha chenyewe alaf unaongea nin wewe hata kipofu huwez mdanganya nakwambiaunapenda kubisha bila facts....uap haijahesabiwa mnara.....britam ndio mnara wake umehasabiwa juu ni architectural spire
πππππππππππ bongo motoooo enhhhhhhhhh hahahahaNairobi Metro Region - SkyscraperCity go feast your eyes.
andika...unajua sijawai pinga kama kitu ni kweli.leta tuone tu apaKwani utakubali wewe hahahhahaha kitu kinajionesha chenyewe alaf unaongea nin wewe hata kipofu huwez mdanganya nakwambia
Nimekwambia kama we mwanaume twende on going ctaki mambo ya projects twende under construction hahahaha unaogopa nn na we mwanaume hahahhahahaNairobi Metro Region - SkyscraperCity go feast your eyes.
hahaa...vijembe sio.hiyo inakuja,cz tram ishaanza
wakenya wanaangalia BRT ya 'jozi' kushoto na Dar -kulia...BRT Sio matako kwamba kila mtu analo...kaeni chonjo