Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vijana mnapiga domo sana. Mmeshindwa kushirikiana au hotels zimeisha?

Hatutaki kuingia level yako. There are so many 1 and 2 star hotels in Nairobi. Hatuwezi zimaliza.
Wewe uliitishwa 5-star ukaleta Hong kong hotel.
The hard truth is that Dar is slum has at most 2 or 3 five-star hotels.
Hizo zingine zote ni lodging, guest house, na 'bar & rest'.
 
Hapa unajitetea.
 
[HASHTAG]#Just[/HASHTAG] Asking- Kwani Dar iko na vitu mbili pekee??... Its either hizo blue buildings ama Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sikia we boya hayo majengo ni marefu sana hata ukiwa chanika nje kabisa ya dar unayaona!!
sio kama huo mnara wenu hapo kibera..
 
kuweni nae makini........kwenye hizo hotel anazo post kwani.....kuna changa

we jiulize hizo hotel siku zote alukywa wapi kuzipost
Safari Park hoteli iko Thika rd. Ni mara ngapi mtaambiwa hivyo? It's not far from Garden City mall and Thika Road Mall (RRM) which are also located along Thika rd. Hii ndio Nairobi baba, mtatii tu. Park hotels ziko all over Kenya tukianza na papa hapa Nairobi, mkitaka muitishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…