Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unalazimisha mambo? Ramada ni ile yenu ya Dar. Hii ya Nai inaiitwa vivyo hivyo alivyoandika
Kuna fala hapa anasema Safari Park Hotel iko kwa national park.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Maboya hawaamini Nairobi ilivyo mbele.

Safari Park Hotel in the Heart of Nairobi - Kasarani
 
I don't really get the point of this thread if Dar a coastal city can be defeated by Nairobi in almost every aspects INCLUDING HOTELS [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].... This is no longer a war then...
 
Ameona hiyo jina "park" akachanganyikiwa. Achana na huyo boya. Ataelewa tu hii sio Dar is slum
Majamaa ni wakuhurumia tu. Hata na google bado mtu hawezi fanya karesearch kabla aropokwe.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona unalazimisha mambo? Ramada ni ile yenu ya Dar. Hii ya Nai inaiitwa vivyo hivyo alivyoandika
Watu hapa sijui ni kutosoma ama kutotembea ama ujinga. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hotel La Mada
 
Unataka 5 star?
5 star ulishindwa, nikakuwekea Villa Rosa Kempinski ukaniwekea Hong Kong Brothel.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Villa Rosa Kempinski Nairobi

Hong Kong Brothel πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
unarudia picha zote zishapostiwa na nairobiwalker rudi page za nyuma hehheheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wee boya sijapost Lazizi hotel. Unadhani sisi ni kama nyie? Kuna mahoteli NAIROBI kibao hatujapost.
 
Wee boya sijapost Lazizi hotel. Unadhani sisi ni kama nyie? Kuna mahoteli NAIROBI kibao hatujapost.
Mnaongea sana vijana wa kenya. Unaongea sana action zero.
Nimekupiga za uso uso sasa hivi unawaya waya tu. Umeishiwa kijana.
 
Mnaongea sana vijana wa kenya. Unaongea sana action zero.
Nimekupiga za uso uso sasa hivi unawaya waya tu. Umeishiwa kijana.
Hakuna za uso umepigana, mapicha yote unapachika ni ya aibu dar imeacha nairobi kwa mdomo
 
Majamaa ni wakuhurumia tu. Hata na google bado mtu hawezi fanya karesearch kabla aropokwe.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
They discuss with a lot of emotions, how do you expect them to conduct some little research? Hata links wanazoleta hawasomangi kujua inaongelea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…