Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha!! Huwa hawa jamaa wanachekesha sana. Hawawezi tena kuipiga picha maana wanaona aibu.
na washatangaza kua ime fail pesa za kuchora imepotea ni pesa ya wakenya maskini๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwanza hata kuiweka nai katika hii battle tumeipa heshima kubwa sana.

Ilitakiwa iwe dar vs other EA cities.
hahaha kuna mjinga mwinginw anajifanya anaijua dar hata kijichi haijui ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
beach Comber - Dar es salaam






 
Walidhani wana akili nyingi sana kwamba wachore tu,halafu iwe.

Just simple like that.bora hata wangeweka kingo za mipaka kwa kutumia concrete blocks,tungejua walikuwa na nia.
na washatangaza kua ime fail pesa za kuchora imepotea ni pesa ya wakenya maskini๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kijana tembea uone mengi. Hotel ni hiyo ya makuti. Nyumba zenye paa nyekundu hizo ni makazi. Kenya sio bongo brathee.๐Ÿ˜€
Hahahahaha. Kijana nakuona unakimbia kivuli chako. Unaweza ukathitisha hapo ni makazi ya watu? na ni Nairobi?

 
Walidhani wana akili nyingi sana kwamba wachore tu,halafu iwe.

Just simple like that.bora hata wangeweka kingo za mipaka kwa kutumia concrete blocks,tungejua walikuwa na nia.
hata wangeweka kingo still isingefanikiwa kwasababu hawakua na plan before wametafuta shuka kushakucha asubuhi na walijua watakufa watu kama nzige๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
hata wangeweka kingo still isingefanikiwa kwasababu hawakua na plan before wametafuta shuka kushakucha asubuhi na walijua watakufa watu kama nzige๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Siku zote nasema ogopa sana mji unaojengwa nyuma yako.

Mtu unajenga barabara pana zinazoingia kwenye mji mmoja mdogo umejikusanya sehemu moja eti kupunguza foreni,kweli yajayo yanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ