The only reason Dar es Slum is not included in that list is because nobody would have believed it.
That a whole city, from one end to the other, from north to south, can resemble a megaslum.
hahaha kuna mjinga mwinginw anajifanya anaijua dar hata kijichi haijui πππππAcha ujinga.
Mombasa
Bora hata wewe uliyeamua kuihusisha na Mombasa katika hii battle.
Ni vizuri kusaidiana katika maisha.
baada ya makeup nyingi sana sasa imekuja saidia nairobiπππmombasa
Dar haiko kwa list kwa sababu Dar yote ni slum.
Jibu ni moja. Sijui kwa nini unataka kulazimisha majibu mengine.
JUST BECAUSE NOBODY SAID YOU HAVE A SLUM DOESNT MEAN YOU DONT HAVE ONE
wapost ile barabara ime ekewa alama ya only BRTπKwenye hotel kijana usiguse kabisa watu watakucheka. Vivyo hivyo kwenye beaches ungeacha kabisa. Nakushauri endelea ku post barabara yenu hiyo moja pekee. Mengine usiguse utakimbia humu.
Hiyo sii hoteli boss, hayo ni makazi. Yaani kweni nyumba nzuri zote ni hooteli hadi hamuamini watu wanaweza ishi kwa nyumba kama hizo?ππππKwenye hotel kijana usiguse kabisa watu watakucheka. Vivyo hivyo kwenye beaches ungeacha kabisa. Nakushauri endelea ku post barabara yenu hiyo moja pekee. Mengine usiguse utakimbia humu.
hotel sheraton hio iko nyali mombasa au mpka nikuaibishe sasa hvi ndio ufurahπππππHiyo sii hoteli boss, hayo ni makazi. Yaani kweni nyumba nzuri zote ni hooteli hadi hamuamini watu wanaweza ishi kwa nyumba kama hizo?ππππ
Na utakuwa mwehu zaidi kufananisha hizi na Kibera.....Hizi karibu zinafanana na za Kenya lakini za bongo la! Za Bongo ni slum. Utakua mwhu kufananisha mtaa kama huo na huu uchafu hapa.ππππ