Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nairobi pekee kuna worse slums zaidi ya 25 heheh na zote ni heavy slumsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
NA DAR IKO NA PAHALI KAMA TATU HIVI PAZURI, AVIC TOWN NA OYSTERBAY...KATIKATI YA SLUM
 
hakuna mtanzania mwenye habari na kenya sema nyie ndio hua hamutaki tanzania iendelee na siku zote mulivo na hamupendi kuongea mambo yenu ya msingi yanayomgusa kila mkenya, yani unajisifia ushuzi wakat unakufa njaa
wewe leo hujiulizi kwann njaa inatawala kwenu kila mwaka wakat ardhi ya kulima munayo, arable land yote mumewapa settlers wao wanapanda maua na kwenda kuuza kwao nyie mumebakia kulia na njaa kila mwaka mkisubiri misaada alaf unatunisha misuli kujiita MLDC serious??? akili kichwani mwako
 
NA DAR IKO NA PAHALI KAMA TATU HIVI PAZURI, AVIC TOWN NA OYSTERBAY...KATIKATI YA SLUM
uhahah katafute google earth neno slums ndani ya dar ukipata tu nitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Our government ?? πŸ˜€πŸ˜€ Kwenye unemployment ?? πŸ˜€πŸ˜€ Baby cry cry cry😱😱
 
Our government ?? πŸ˜€πŸ˜€ Kwenye unemployment ?? πŸ˜€πŸ˜€ Baby cry cry cry😱😱View attachment 782493
yani hawataki kuskia yale mambo ya msingi yanayomgusa kila mkenya wao ni kushangilia multinational companies wakati unemployment rate iko worseπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Meanwhile, this is Dar ws salaam, a glorified village Tanzanians are trying so hard to compare with Nairobi. These are typical Dar estates where the majority of Dar residents live, including those making noise in here. It's laughable that 80%-90% of Dar estates look exactly like these two. I can see so many "dream houses" in these two pics
 
baada ya sigiri bridge kubutuka sasa na hii nyingine
sijui hao engineers wamesomea wapi????

 
Latest pictures kutoka NairobiπŸ˜€πŸ˜€View attachment 782495 View attachment 782497
Who told you that Nairobi should be perfect? There's nothing perfect in this world, even New York has some very bad neighborhoods. Even in those two pics alone, one can clearly see the level of planning in those estates. The roads may look pathetic but the rows of apartments are neatly tacked, leaving plenty of room for vehicles and other road users. Hii ni ndoto kule dar...In Dar, vijinyumba vya mabati zenye paa zilizorust zimetapaa kila mahali bila mpangilio wowote. kisha mnaziita dream houses!!! Hata hamna haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…