Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That's why your education system will continue lagging behind...By the way ebu andika Trimethylamine in kiswahili nione😀😀
Leo ndo nimeamini kwamba wewe ni mbumbumbu,sasa neno trimethylamine ni kiingereza??hahaaaaaa wakenya bwana kwa ujuaji??na kumbe vichwa vimejaa githeri tuu
 
umeamua kujifurahisha eeehhh??eti mbagala ni slums??diamond katuharibia sana mbagala yetu...
 
go to youtube and watch Chris Brown and Rick Ross' perfomances in Mombasa and Nairobi respectively. wabongolala hawajazoea mambo haya
kuwa siriasi bwana!!nyi jamaa mbona washamba hao wasanii unaowataja bongo wanakuja na kuondoka kila siku kama kwao yani..dah kweli nyie bado sana...
 
Isuzu trucks, carrying passengers in Nairobi,
Halafu tulishasema usiweke tena haya madude humu. So ugly.
hayo yalikuwa ni trucks za mizigo yamefanyiwa modification..!!! aisee wakenya bwana!!Mimi siwezi panda upuuzi kama huo..
 
Naona umeshtuka jinsi Nairobi mabo ni fasta fasta. 2019 kitu kinamalizika. Zile mbilikimo zenu munamaliza lini?
Rafiki Nairobi tulishaisahau. Haituumizi kichwa, kwa sasa tuaumizwa kichwa na Hong Kong.
 
kuwa siriasi bwana!!nyi jamaa mbona washamba hao wasanii unaowataja bongo wanakuja na kuondoka kila siku kama kwao yani..dah kweli nyie bado sana...
mwambie huyo boya Losermatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…