Embu hesabu apo tusibishane sanaSasa tulikiwa tunabishana kwa nini juzi eti kama ppf ni 40 floors au ni 35 floors? Hebu muambie ichoboy aje ajionee mtanzania mwenzake amekubali ppf ni 35 floors. Wololo yaye
tisha sana wanadhani kujenga visix lane hatuwezi ...wakati tunajenga vitu moto zaidi ya 6 lane hapo ilipo pia ni 6lane tosha yaani nne 2lane na mbili brt huvyo tumewadouble...
Unajua thika road ni ten lanes? Excitement za kishamba hizi. Tembea Nairobi uone maneno.tisha sana wanadhani kujenga visix lane hatuwezi ...wakati tunajenga vitu moto zaidi ya 6 lane hapo ilipo pia ni 6lane tosha yaani nne 2lane na mbili brt huvyo tumewadouble...
One Africa Place, Westlands. 24flrsNever
kwenye upande wa transport hamuigusi tz hata.....labda kwa upande wa anga...HUYU ANNAEL SIJUI NI SHULE HAKUENDA AMA NINI.... TUNAONGELEA MATATU YEYE ANAROPOKWA KUWEKA COACH BUS OF WHICH TUKIANZA KUZIMWAGA KINA MODERN COAST OXYGEN NA STEPPER ATAANZA KULIA COOKED DATA NKT!! HAHAAHAHA.... ACHA JOKES BANA
Nimehesabu 35 floors. Ichoboy alikuwa anasema ziko 40. Wacha aje, leo ni siku yake.Embu hesabu apo tusibishane sana View attachment 778248
Hayo yanatuhusu nn sasa[emoji38][emoji38]Two rivers pekee ni 67,000 sqm. Tafakari hayo. Kwa malls nilishakuambia wachana nayo kabisa. Huku kuna oversupply ya malls. Malls zingine hata ziko empty.
Two river ni 62ksqm acha mboyoyoTwo rivers pekee ni 67,000 sqm. Tafakari hayo. Kwa malls nilishakuambia wachana nayo kabisa. Huku kuna oversupply ya malls. Malls zingine hata ziko empty.
Kama umeona ni 35flr maanake case closed ichoboy muache kwan ww ni muda wote upo accurate?Nimehesabu 35 floors. Ichoboy alikuwa anasema ziko 40. Wacha aje, leo ni siku yake.
Ilo tu?One Africa Place, Westlands. 24flrs
these guys TTTR AUTO UPGRADES i respect them.They do a great job
Mwaka huu Dar inaongeza nyumba mpya kadhaa kma ifuatavyo
1.Mzizima towers A&B 35,33 flr respectively
2.MNF A&B 30flr each
3.Morroco square 22,20,17,13 flr ,Mall
4.Palm village Mall,hotel and residency building
5.Sky tower 22 flr
.....
Thika this thika that lol you guys gives us break...Mlianza na sgr kwa pupa sasa Mnaona tz inajenga km 700+ na electric train mmeanza kupagawa,even highway sisi tunadouble km 50 haitoshi mbogaUnajua thika road ni ten lanes? Excitement za kishamba hizi. Tembea Nairobi uone maneno.
add to the Avic Hq Towers. sasa unadhani ukiweka vimbilikimo vya 9, 13, 16flrs ndio umeweza au?Ilo tu?
AikaNaongeza
Noble Victoria apartments 16frl x 2
Victoria Place 13flr x2
PPF hQ 35,14,9 and conference centre
Palm village /Ivory towers is 15flr x4
Avic yenyewe zinaisha lini?maana mnazisubiri kwa hamu kali ajabuadd to the Avic Hq Towers. sasa unadhani ukiweka vimbilikimo vya 9, 13, 16flrs ndio umeweza au?
Avic zinakamilika lini?
tulieni wadhii 😀😀😀Avic yenyewe zinaisha lini?maana mnazisubiri kwa hamu kali ajabu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mm na wewe mshamba nani?
Sijawah ona jf anaetumia majina matatu kwani ulifikiri uko uhamiaji humu[emoji38][emoji38]