Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is ichoboy....talks a lot of nonsence yet he is lucky to be among the 3 million internet users in tz...sasa wenye wako mashambani tz si ni mazishi tu
96d01754fdf710923ba98f1280401040.jpg
 
Nyie kila kitu cha kwenu ni super ndio shida sasa...hadi vikitu vya kijinga mnajipamba. ..mnajiona watamuu
Thika road iko na 10 lanes...so hakuna jina ingine ila ni super highway amaukipenda mega highway....
 
This is ichoboy....talks a lot of nonsence yet he is lucky to be among the 3 million internet users in tz...sasa wenye wako mashambani tz si ni mazishi tu
96d01754fdf710923ba98f1280401040.jpg
Naona ichoboy anasumbua vichwa vyenu hahhahaha nitawaharia mpaka mwisho hahhahahahahhahaaha sifa za nini kila kitu chenu tu hahhaahahhahahahah labda muwadanganye jamii forum sio Mimi 
😀😀😀😱😀😀
FB_IMG_1484389301484.jpg
 
This battle is over
Nairobi imeshinda kama kawa
Rip Anal,kadoda11 na ichoboy
Dar next time linganishaeni na Mogadishu
Na vita hamwezani pia muachane .
Naona mmetoroka timeline hivi after kulemewa kwanza anal
b7e642a9e31f75ecf24272ea017f8595.jpg
 
Naona ichoboy anasumbua vichwa vyenu hahhahaha nitawaharia mpaka mwisho hahhahahahahhahaaha sifa za nini kila kitu chenu tu hahhaahahhahahahah labda muwadanganye jamii forum sio Mimi 
😀😀😀😱😀😀
View attachment 491137
Sasa kavuna tafuta picha kamoja ka dar ivi utasumbua nani na kelele za vuvuzela
6a90557f10b088aadc329cc6f26b6deb.jpg
 
Thika road iko na 10 lanes...so hakuna jina ingine ila ni super highway amaukipenda mega highway....
Mm hua najiuliza kwann kila kitu hua ni waongo nyie munakua waoga kudanganya watu haya nioneshe hio 10 lanes ya thika road hahahhaha au unajifurahisha nafsi yako hahahhaah sifa za nini ndio maana munakufa maskini😀😀😀
Screenshot_2017-04-04-19-33-35.png
 
Mm hua najiuliza kwann kila kitu hua ni waongo nyie munakua waoga kudanganya watu haya nioneshe hio 10 lanes ya thika road hahahhaha au unajifurahisha nafsi yako hahahhaah sifa za nini ndio maana munakufa maskini😀😀😀
View attachment 491146
Thika road hadi muthaiga ni 10 lanes fala hii...alafu inakua 8 lanes hady thika then 6 lanes hady kenol...ata nimepitia huko leo
 
This battle is over
Nairobi imeshinda kama kawa
Rip Anal,kadoda11 na ichoboy
Dar next time linganishaeni na Mogadishu
Na vita hamwezani pia muachane .
Naona mmetoroka timeline hivi after kulemewa kwanza anal
b7e642a9e31f75ecf24272ea017f8595.jpg
Uhahahhahahaha taxi za city nayo ijadiliwe bungeni hahhahhahahahah Maana hio nayo imeingia kwnye record ya dunia 😀😀😱😀😀😀😀
7233f92a28bb01794307335522b59c9d.jpg
 
Thika road hadi muthaiga ni 10 lanes fala hii...alafu inakua 8 lanes hady thika then 6 lanes hady kenol...ata nimepitia huko leo
Hahhhhahahahaha Google Leo waongo kila siku Google inawaonea wakenya wazee wa sifa hahahahhahahahha wazee wakuhamisha visivo hamishika😀😀😀😀😱😱😀😀😀
 
Sasa kavuna tafuta picha kamoja ka dar ivi utasumbua nani na kelele za vuvuzela
6a90557f10b088aadc329cc6f26b6deb.jpg
Safari hii mumebanwa kila kona na dar hahahha hakuna sehemu mumetoboa hata moja hahhahhaha dar tamuuuuuuuuu😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mmetushinda nakubali......kwa % ya wa2 wanastayisha slum 70%
 
Usipoona kenyata conference hio sio nairobi hahahahhaha ni hapo tu hakuna sehem nyingine
with this statement,you have real embarrased yourself...iyo old cbd hakuna mtu anaiangalia tena..tuko kilimani ,upperhill na westlands sasa
 
Back
Top Bottom