Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nzuri, ila huu mji ukitaka uwe mji wa kisasa, itabidi kuubomoa na kujenga upya!! Nadhani hapo kwenye CBD kumekosa order kabisa, sisemi kwa kuweka ligi, ila ni ukweli.
Tubomoe au moyo unakuenda mbio 😀😀😀hahahhahahahahahah😀
 
I hope you're not dumb enough not to realize your statistics prove Nairobi is bigger than Dar.
Kama Leo 1590 km sq nindogo kwa 696km sq hahahhahahahah nakubalina na wewe😀😀😀😀😀 sifa zingine mkipenda sana zitakuuweni hahahah Mugabe alishawaambia munapenda kuhamisha visivo hamishika 😀😀😀
 
80% ya ndotoni mwako kama kawaida, ila Dar ni 70% Slum utafiti wa uhakika wa kimataifa
Hapo vipi patamu enhhhhhhhhh
1200px-Nairobi_slums_area.svg.png
 
Usipoona kenyata conference hio sio nairobi hahahahhaha ni hapo tu hakuna sehem nyingine
Fool, KICC is the landmark of Nairobi, Dar has no landmark so you can't understand. But we understand your levels of disillusionment
 
Kiasi kuna tofauti ya minara (Spire) na antenae za mawasiliano. Antenae huwa haziko kwenye ramani ya ujenzi bali minara huwepo kwenye designs za jengo. Ukipima urefu wa jengo la bunge kule Dar, utapima na ule mnara sababu ni design yake.
Sindio ujanja wakukuza urefu haahahhaahaha twende kwa actual buildings haaahahahahha munaogopa tu bure
 
huwezi kuamini kibera inabadilika sijui hiyo project ikiisha mtakua mkilia slums gani
😀😀😀😀😀😀😀 niamini nn wakat nilikua huko December hahahhaa unanidanganya mm au unawadanganya humu ndani jamii forum, hebu sema basi hahahhahahha
 
huwezi kuamini kibera inabadilika sijui hiyo project ikiisha mtakua mkilia slums gani
Kwikwikwi. Yaani unanichekesha sana. Kibera is extravaganza big; it will take kenyans 5 decades to complete building very small houses. This is Because kenyans are extraordinary poor.
 
Back
Top Bottom