hahaaa...cheki izo vitu ziko mwanza...umeshindaUnataka kuona za Mwanza haya
Wag hill lodge Mwanza
View attachment 490823 View attachment 490824 View attachment 490825 View attachment 490826 View attachment 490827
Ndio akili yako inavokutuma au sio maana hio ilikua statistics za 90s kamuulize mwenzako nilimuoneaha GDP ya dar 2017 akafunga mdomo wake rudi page za nyuma utaona hehehhehee hii ndio bongo 2017In fact GDP ya dar na msa ni almost same...nai GDP is 5 times ya dar
Tulia ndio nimenawa mikono subiri nikuekee vitu vya Mwanza tulia baba umejiingiza mwenyewe hehehhehehahaaa...cheki izo vitu ziko mwanza...umeshinda
hawa jamaa ni maneno bure...hamna lolote kwao.i tell you neither their first city nor their second can compete with oursIn fact GDP ya dar na msa ni almost same...nai GDP is 5 times ya dar
endeleea we mmi sko kwa mashindano...ayo anzisha thread yake kando mwanza na msaTulia ndio nimenawa mikono subiri nikuekee vitu vya Mwanza tulia baba umejiingiza mwenyewe hehehhehe
Hahhahaha siniliwaambia toka mwanzo ingizeni mombasa na kisumu wakawa wanakataa sasa wameingiza wenyewe hahahhahahha
ππππ
Nilikwambia twende battle ukawa unaringa ringa twende battle baba mm staki maneno mengi hehehehe πππππππendeleea we mmi sko kwa mashindano...ayo anzisha thread yake kando mwanza na msa
seriously...izi ndio unataka kucompare nakina english point marina.mwanza haiingii kwa msa.kuaccept defeat sio ugonjwaMalaika beach resort Mwanza
View attachment 490836 View attachment 490837 View attachment 490838 View attachment 490840
Uhahahahhahha nairobi the father of slums world wide acha Africa tu hehehhehe wewe ushindane na 1590 km sq urban area kwa 696 km sq kapimwe akili hahahhaah sio bure......kibera babyyy patamu hapo maana wazungu wanakuja kushamgaa binaadamu wanavoishi kama nguruweNairobi is not an Island City fyi. na huwezi compare Nairobi na city yoyote East and Central Africa. Ukitaka kuleta picha za Island, beaches, hotels,,, Mombasa has more better than yours. na tutawachapa nazo maanake hata Mombasa ni imeshinda Dar is slum kwa mbali sana
fungua thread ingine kando sio apaNilikwambia twende battle ukawa unaringa ringa twende battle baba mm staki maneno mengi hehehehe πππππππ
Twende wewe unaleta maneno mengi sana unajifanya mjuaji labda mm siijui mombasa kanyaga waya twende maneno mengi ya nnseriously...izi ndio unataka kucompare nakina english point marina.mwanza haiingii kwa msa.kuaccept defeat sio ugonjwa
nmekwambia fungua thread ingine kandoTwende wewe unaleta maneno mengi sana unajifanya mjuaji labda mm siijui mombasa kanyaga waya twende maneno mengi ya nn
Nilikwambia tufungue ukawa unajizungusha hapa unafkiri hii ndio Tanzania ile na tutaenda mkoa kwa mkoa mpaka kieleweke mpaka muingize migori na homabayfungua thread ingine kando sio apa
Mombasa haiingii kwa dar hata chembe kwenye beaches, resort na island yani hata nukta haiingii niliwaambia ingizeni mombasa humu leteni mutaijua dar ilivo hahahahaha hapo ndo mutaijua dar is a city of pleasure ππππ huku bado Zanzibar inakusubiria hhahhahaa mutatia akili vzr hahahhahhahaNairobi is not an Island City fyi. na huwezi compare Nairobi na city yoyote East and Central Africa. Ukitaka kuleta picha za Island, beaches, hotels,,, Mombasa has more better than yours. na tutawachapa nazo maanake hata Mombasa ni imeshinda Dar is slum kwa mbali sana
Mombasa haiingii kwa dar hata chembe kwenye beaches, resort na island yani hata nukta haiingii niliwaambia ingizeni mombasa humu leteni mutaijua dar ilivo hahahahaha hapo ndo mutaijua dar is a city of pleasure ππππ
Kwan marina sijafika hapo, marina kuna kipi cha ajabu unaenza nambia hapo.....mm nimekwmbia mombasa wewe hunifundishi hata kidogo ndio maana nakwambia hakuna worse city ever seen kama mombasa na kisumu wachana na slums za nairobi maana hizo ni moto mwengineTwende wewe unaleta maneno mengi sana unajifanya mjuaji labda mm siijui mombasa kanyaga waya twende maneno mengi ya nn
bangi alinivutisha nyako maberkweli hiyo bhangi umevuta leo ni kali.
alafu capital city yenu ni Dar is slum ama Dodoski?