NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,008
- 19,180
ngoja sote wanaosema hili jengo ni 35fl au 40fl kwa pamoja tuondoe utata! maana mwenyewe nataka nijue ukweli...
tuanze, mpaka hapo kweny hili jengo ulilopost [emoji115]... kutoka chin mpka kweny hio rangi ya njano kwa chini kuna floors 16, right?
then ongezea na hiz floors kuanzia kweny yellow mpka juu kabsa [emoji116]sote tujue kuna floors ngap!
aliyehesabu hatujuze ziko ngap!! [emoji1621][emoji1621]View attachment 773290
Hilo hapo.............Wabongo na kuongeza floors kwenye jengo.