Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3BD49568-4123-4D2B-B0F9-AA4016DD5470.jpeg
 
ngoja sote wanaosema hili jengo ni 35fl au 40fl kwa pamoja tuondoe utata! maana mwenyewe nataka nijue ukweli...

tuanze, mpaka hapo kweny hili jengo ulilopost ... kutoka chin mpka kweny hio rangi ya njano kwa chini kuna floors 16, right?
then ongezea na hiz floors kuanzia kweny yellow mpka juu kabsa sote tujue kuna floors ngap!

aliyehesabu hatujuze ziko ngap!! View attachment 773290
not less than 38
 
Wewe umehesabu ukapata ngapi? Tuwache ubishi za kijinga. Hilo jengo ni 35 floors na aliye na macho hapaswi kupinga hilo
 
chukua pesa leta nyumbani fungua kiwanda toa ahira kwa vijana 😀😀😀
F0545DB3-60CD-4800-AC3E-D63FF3295180.jpeg
 
times haizidi 30fl we usitufanye sisi wajinga sana
na hili swala la times tower lishazungumziwa humu mara nyingi sana
Wewe unaishi mwananyamala Dar mimi naishi Nairobi sasa mbona tubishane? I have been to the 35th floor of that building so usijifanye unajua kuhusu hilo jengo kuniliko mimi mkaazi wa Nairobi. Kama nimekupa links tatu usome na bado unapinga sasa unataka aje?
 
hesabu vzr usiwe mjinga kwenye kila kitu, usifkiri kila siku ni ijumaa😀😀😀😀 nakwambia times haitakua na 38 mpaka yesu anashuka hakuna mtanzania mjinga
 
Kukubali ni hiari yako ila ukweli Itabaki pale pale mpaka Yesu arudi
 
Back
Top Bottom