Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaona sasa huyu. What is wrong with you guys. So mwengine amesema hatuna fly over Kenya, huyu anasema ziko lakini za fashion.
 
Hahahahahahahahahaha, nor wonder mlinunua train za zamani mkasherehekea kama mazuzu, nipe tofauti ya interchange na round about. Hamna interchange na hamtokaa mpate interchange, kama ambavyo hamtokaa mpate electric trains [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Pangani interchange.😀😀😀
 
DIAMOND HUTEGEMEA COLLABO NDIO A HEAT.... HIZO 10M VIEWS NI ZA OMARION SIO ZAKE... NGOMA GANI KWANZA AMEIMBA SOLO YA MAANA
Jf kwasasa imejaa Vilaza toka Kenya kuwahi kutokea
Huu ni wimbo alio utoa kama Bonus tu
na hajawahi upost kwenye Acc zake tofauti na kuachia YouTube
ina miez 4+ tu
wakati kenya mpo na Mwaka sauti solo leo wameweka Sherehe ml10 mwaka mzima
Vidume zaidi ya 3
 
Ndugu kwa mtu aliye tembea
huwezi ukasema Kenya kuna Flyover never
Hawa jamaa washamba kweli
 
Yes.. I admit it. Tanzanians are good in music but leme ask this.. Of all those 40million views .. Did he even give you 1shs....i bet noo... Wrong priorities in life
Hizi ndio Akili zakupeleka Mathari
Mmekuwa mkiimba Millionea wengi Nairobi
Vipi wamesaidia nink Ufukara wa kimbwa nguruwe pale Kibera!!
 
KAMA BADO UKO KENYA AND YOU HAVENT VISIT THIS PLACE THEN I BET YOU SHOUL... ONLY 2HOURS DRIVE FROM Nairobi [HASHTAG]#NAKURU[/HASHTAG] SAROVA woodlands.. . A HEAVEN ON EARTH
 
Unaona sasa huyu. What is wrong with you guys. So mwengine amesema hatuna fly over Kenya, huyu anasema ziko lakini za fashion.
nyie mnavipisi na mnaforce kubuild flyover sehemu ambazo zina vibonde na miinuko ndiyo maana tunawaambia kama hamna fly over

kwa mfano hivi vitu ni zanini sasa maana ni vidaraja hivyo visivyo na msingi
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

 

Attachments

  • maxresdefault.jpg
    131.2 KB · Views: 41
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…