Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

is it for light aircraft???😀😀😀
Yeah. Najua unashangaa maana zenu za heavy aircraft zinakaa hivii.😀😀😀
PIC+atcl.jpg
 
plz GOD help kenyans 😀😀😀😀😀
i can see terminal building there
4D8D7216-0EAA-42B7-AF08-970CAB2F43BD.jpeg
 
Ninyi ni kichaa kabisa, hivi huwa mnatumia vigezo gani kujipima kwamba nchi yenu inasonga mbele?. Be informed that, without food security, jobsecurity, peace, good land policy, equality and justice among your people, Kenyans shall remain poor and your country will continue to face the same problems of 1960s, ie. Food, water, poverty, slums and insecurity.



Kaogelee kwenye mtaro,mbona mwajiforce tuwe level moja wakati hadhi yenu ni kunguni na viroboto?,Kenya level nyingine aise,na tusha watafuna sasa twawatema tu. Iam Lee ,kichwangumu 254,nixcie, El metador wapeni ujumbe wataelewa tu ,Kenya level nyingine.
 
Back
Top Bottom