Lucky Katama
Member
- Mar 1, 2018
- 83
- 63
As you post this, natural calamities and unavoidable circumstances prevail every where, when stuff get ugly huko kwenu post here too.duuh hilo si banda la kuku
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nyie too much hadi mashuleni nakingine kuhusu road accident ni vitu vya kawaida........mji wenu ni vitukoAs you post this, natural calamities and unavoidable circumstances prevail every where, when stuff get ugly huko kwenu post here too.View attachment 765950View attachment 765951
Ila barabara za upanga ni changamoto aiseh! Na mvua hiziUpanga imetulia sana ...
Upanga kuna muhimbili national hosp,Auramall , apartment nyingi sana,international and local schools, universities like Mzumbe cumpus ya Dar. ..private hosp kama regency and the like...hotels Za kisasa pamoja na clubs na casino zakibabe...baadhi ya balozi pia zimo na nyumba Za ibada ,kumbi kama diamond jubilee nk View attachment 765821View attachment 765823
kabisa hatutaki mazoea ya hovyo maana kuna makampuni yanajaribu kuhararisha ile dhana mbovu...wakati wasomi wapo nyomi
That guy already has shares anataka kuongeza presence yakeRichard Bell cant sell Zuku to a tanzanian
Hii team ndogo ndio mnajichocha NAYO na hata labda huyu player hajulikani hukula Bench KILA siku. Aty Yusuf?? Hahaha ukiuliza Yusuf ninani hakuna mwenye anamjua lakini SEMA WANYAMA [HASHTAG]#TEAM[/HASHTAG] KUBWA. TENA AKO NA VALUE.. YUSUF NDIO NANI SASA...and BY THE WAY... KWA BUNDASLIGA NI TEAM MOJA TU YA MAANA [HASHTAG]#BAYERN[/HASHTAG] NA LABDA DVB.... I DARE YOU TO SHOW ME PLAYER AKO EPL AMA LALIGA... SISI TUKO NA ZOTE MBILI Na tena sio WA TZ... SO UNATAKA TUANZE KUEKA KINA DIVOK...?? HAPA HAMUEZANI WANYAMA NA OLUNGA WOTE NI WAKENYA WAPI WENYU WA TZ??na hata hatuna shobo naye
Kama BADO Tz MNA WATCH TV STATION ZA KENYA?? BADO CAMPUNI ZA KENYA NDIO ZIKO HUKO?? BIASHARA ILIWAKATAA NYINYI LABDA MUIMBE ALAFU MHAMIE KENYA KAMA DIAMONDwacha tununue share alaf tuwafundishe kufanya biashara😀😀😀😀 tanzania kuna ushindani mkali sana
Zuku ilisha fail kitambo in tz, complete set now is only 59,000/=, dstv (another failer 99,000/=) but azam 150,000/= na anauza balaa kampuni zenu zipo ila zapumulia mashine njooni mzichukueKama BADO Tz MNA WATCH TV STATION ZA KENYA?? BADO CAMPUNI ZA KENYA NDIO ZIKO HUKO?? BIASHARA ILIWAKATAA NYINYI LABDA MUIMBE ALAFU MHAMIE KENYA KAMA DIAMOND
Hii ni team ndogo SANA... Hahaha alafu unataka ku mcompare na Wanyama & By the way tuko na WENGINE [HASHTAG]#Olunga[/HASHTAG] The man who scored a Hart trick [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG] [HASHTAG]#Currently[/HASHTAG] the Best player in East Africa!! *Original Club:GOR MAHIA!!!nyie niwakimbizi sana huwa mnavamia nchi za watu kutafuta maisha sababu kenya ni shida na ninjaa majanga hayaishi ajira hakuna...
mcheki huyo[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Tz ni BRANCH NDOGO YA KENYA NURSE AKITOKA KENYA ANAKUWA DOCTOR HUKO SO CHILLAXX KENYA NDIO ECONOMIC DOG YA EAC TUKIKOHOA MNAHAMAZuku ilisha fail kitambo in tz, complete set now is only 59,000/=, dstv (another failer 99,000/=) but azam 150,000/= na anauza balaa kampuni zenu zipo ila zapumulia mashine njooni mzichukue
This dude is Danish ata. I can tell you a host of foreing guys who could have played for Kenya but chose European countries. Origi wa Liverpool, Guidetti wa Sweden na Martin Olsson pia wa Swedennyie niwakimbizi sana huwa mnavamia nchi za watu kutafuta maisha sababu kenya ni shida na ninjaa majanga hayaishi ajira hakuna...
mcheki huyo[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nyinyi mna mambo mengi mazuri tu lakini hiyo haijawazuia kuwa LDC
Sisi tukianza kumwaga hapa picha za akina Origi, Mariga, Oliech, Victor Wanyama na wengine, utatoroka mzee, wacha hiyo mchezo yako.nyie niwakimbizi sana huwa mnavamia nchi za watu kutafuta maisha sababu kenya ni shida na ninjaa majanga hayaishi ajira hakuna...
mcheki huyo[emoji116] [emoji116] [emoji116]
HAHAHAHHA nime fanya research nikapata HIO SIMBA yenyu ilipigwa (5) NA NAKURU ALL STARS HAHAHA EXPLAIN THIS... NA BADO MNALINGANISHA GOR NA HII VILLAGE TEAM YENYU!!five bob. [emoji23] [emoji23]
Sio CBD lakini imeendelea kushinda any part of Dar.hii utasema CBD ???😀😀😀😀
kwan azam tv anafanya nn kenya???😀😀😀Kama BADO Tz MNA WATCH TV STATION ZA KENYA?? BADO CAMPUNI ZA KENYA NDIO ZIKO HUKO?? BIASHARA ILIWAKATAA NYINYI LABDA MUIMBE ALAFU MHAMIE KENYA KAMA DIAMOND