BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,051
- 2,548
Kenyan athletes mostly ni wakisii,wakale,wakikuyu,wamasai na wakamba....hii ujinga wa kusema ni only nilotes wacha.Assume there is no running, Kenya is zero.
And besides only one tribe represents the entire Kenya in marathon, ama namna gani
Yanga na Simba yenyewe haiwezi chapaa Gor..ni mchezo gani mnajua apart from umbea?These photos were taken by Me.
This was the day before yesterday, and this is the best football tournament in the Entire East and Central Africa, (Yanga vs Simba)
Gate collections alone equals to your sgr monthly revenues.View attachment 762265View attachment 762266View attachment 762267View attachment 762268View attachment 762269View attachment 762270
Wewe nadhani umekua juzi juzi. Mchezo kwetu ni burudani na siyo vita. Yanga na Simba zinawashabiki wengi sana. Hata huko kenya wapo wengi sana wanashabikia simba na yanga. Hakuna bongo anayeshabikia Gor mahia. Team za simba na yanga ni historical issues.Yanga na Simba yenyewe haiwezi chapaa Gor..ni mchezo gani mnajua apart from umbea?
Yanga n
gor mahia inamaendeleo gani ???😀😀😀Yanga na Simba yenyewe haiwezi chapaa Gor..ni mchezo gani mnajua apart from umbea?
Yanga n
Angalia jiran wewehilo jengo limakamilika lini. mnapenda excuses mingi
Hii ndio dar Kw picha moja alafu mtasema ni kigamboni mara sijui Pich ya zamani picha ya zamani blah blah ,ooh picha imeoigwa juu ya mawingu bla bla, ukweli ni huu dar ata kwa miaka mia moja haitawai fikia nairobi niWhile returning home from the stadium, these photos were taken by me,
See the difference between the city with urban taste and the dirty slumy kibera city?View attachment 762275View attachment 762276View attachment 762278
Maendeleo ya miradi hewa Alafu uchumi wa Tanzania unaporomoka.......ccm hamjambo kwa kuoika data nyie wavivu😀😀😀😀kwasababu pesa nyingi tumepekeka kwenye maendeleo na ndio maendeleo yanayowanyima usingizi 😀😀😀
magu kiboko ya wakenya 😛😛😛
hehehe 😀😀😀 mwaka huu magu ameshika makei na kuyavuta chiniMaendeleo ya miradi hewa Alafu uchumi wa Tanzania unaporomoka.......ccm hamjambo kwa kuoika data nyie wavivu😀😀😀😀
Yale mashindano timu za Tz waliweka vikosi vya pili kwa sababu ligi ilikua imeshaisha na ma pro wapo likizo and the notice was short kuwaita. Timu za Tz zina ratiba nenda kawaulize Mamelodi sundowns wakiwa mabingwa wa Africa walikuja mwaka jana kutaka kucheza friendly matches bila taharifa waliondoka kama walivyo kuja. Ila usijali hao Gor Mahia watakutana na Yanga very soon then tuta bonga vizuri. Mchezaji yoyote wa Gor atakaye jituma akicheza na Yanga msimu mjao hamtakua nae, its well known Tz teams pay highest salaries in the region.Tanzania is a disgrace to the east African community due to their poor sporting Yani hakuna sport inaenda MBALI huko!? HIO stadium yenyu mlijengea kenya ikujange kucheza # Gor MAHIA vs Everton
unaona sasa ulivyo,hapa tunazungumzia dar vs Nairobi!!ebu jaribu kuelewa kama unataka tz vs Kenya kuna uzi wake!! get back to your mind!!Acha feelings bratha and by the way shule nilisomea primary leave alone secondary IKIWEKWA Tz INAKUWA 'Modern University of Dar' so shut the hell up and Meditate pun the Ugly truth.... Laughing at a neighbor's Speck in the eye yet you have a LOG!! Tz bila Dar ni Home of Booshmen wacha slums Brazil zimeshinda Nai na slums lakini economy iko juu... # Tz poor Nation!
Yale mashindano timu za Tz waliweka vikosi vya pili kwa sababu ligi ilikua imeshaisha na ma pro wapo likizo and the notice was short kuwaita. Timu za Tz zina ratiba nenda kawaulize Mamelodi sundowns wakiwa mabingwa wa Africa walikuja mwaka jana kutaka kucheza friendly matches bila taharifa waliondoka kama walivyo kuja. Ila usijali hao Gor Mahia watakutana na Yanga very soon then tuta bonga vizuri. Mchezaji yoyote wa Gor atakaye jituma akicheza na Yanga msimu mjao hamtakua nae, its well known Tz teams pay highest salaries in the region.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
unaona sasa ulivyo,hapa tunazungumzia dar vs Nairobi!!ebu jaribu kuelewa kama unataka tz vs Kenya kuna uzi wake!! get back to your mind!!
eti Kenya economy iko juu????we sio mzima,unaumwa!!onana na daktari wako...
Tanzania Football team iko ranked number ngapi na FIFA?Yale mashindano timu za Tz waliweka vikosi vya pili kwa sababu ligi ilikua imeshaisha na ma pro wapo likizo and the notice was short kuwaita. Timu za Tz zina ratiba nenda kawaulize Mamelodi sundowns wakiwa mabingwa wa Africa walikuja mwaka jana kutaka kucheza friendly matches bila taharifa waliondoka kama walivyo kuja. Ila usijali hao Gor Mahia watakutana na Yanga very soon then tuta bonga vizuri. Mchezaji yoyote wa Gor atakaye jituma akicheza na Yanga msimu mjao hamtakua nae, its well known Tz teams pay highest salaries in the region.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Exactly! Thanks for pin pointing that.. kila wakija huwa wanatolewa hatua za mwanzo. I didnt kno kumbe uko informed mpaka kwenye sector ya michezo. You are too good to be true, keep it up Zuwenna. I am curious to know unachosomeaHao wanafungwa marangapi kombe la Mapinduzi mbona hatusemi
Kombe la mapinduzi ndio gani?Hao wanafungwa marangapi kombe la Mapinduzi mbona hatusemi