Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyayo is Africa's largest, cleanest and best managed housing Estate in Africa. 5000 units and close to airport.
 
whoever said kibera is the largest slum should have his head checked!
Hahaha....yani dar yote ni slum but hawataki kukubali. Watashinda hapa wakileta picha za kibera. Nyani kweli haoni kundule
 
Hongera sana kwa kuketa aerial photo for the first time. Hebu sasa leta za estates pia tuone.
yaani nyie vikojozi wakikenya ......hatupaswi kabisa kuwaonuesha aerial view tunataka muendelee kubaki na ushamba wenu wakujidanganya .....vile mnavyohisi hasa kwa nyie msioijua dar
 
Dar - Moro reli ni 150km ?? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Kwahiyo Moro to Dodoma ni 550km ?? ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Kuna mkenya kaiba pipa la changaa huku.
apigwe huyo.....si alikuwa hapo maana wakenya ni pombe zao ni zamatapishi
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
April 24, 2018
Mafuriko ya makubwa jijini Nairobi, Kenya
Magari yalisomba na maji ya mafuriko katika eneo la Ruai huku mamia ya watu wakiathirika pakubwa katika mitaa ya jiji la Nairobi kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Mamia ya watu wameacha bila makao huku maporomoko ya ardhi yakitatiza usafiri katika barabara za kaunti ya Murangโ€™a.
Source: Kenya CitizenTV
 
Somali Chef with Hottest Spot in Dar Es Salaam, Tanzania

Source: INTERGRATIONTV
 
April 24, 2018
The biggest aircraft in the Emirates Company Airbus 380-800 to the first time landing to Tanzania

The A380-800 was initially offered in two models the A380-800 original Configuration carrtied 555 passengers in a three class Configuration or 853 Passengers
Source: Aircraft Aviation TV
 
Diamond platnumz
 
Distance ya 400kms tulijenga na miaka mbili na nunusu mbona nyinyi dist ya 150kms dar moro mjenge na miaka mbili? Ingekuwa kenya tungejenga na miezi 12๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nyie yenu ni gali moshi
Yetu ni modern
Ko huwez kulinganisha uchafu na project
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ