Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so ume join kuja kuandika upuuzi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ au umekuja kusaidia wenzio ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
basi mm nakukaribisha karibu mgeni jamii forum
Gracious... Kaka [HASHTAG]#Nimekuja[/HASHTAG] kuwa lambisha LoLo!
 
Nairobi hakuna wajinga??..na wale jamaa wanaobaka mbuzi??unawaitaje...?juzi hapa tumeona majamaa yanaoana hapo Nairobi..huo ni zaidi ya ujinga ndugu!!
 
Nairobi a world class city, the only city in EA and CA region with BURGER KING restaurants. Nairobi imejaa international products and services ambavyo huwezi pata Dar.

We NI English haujui?? Ama hio pia ulifunzwa na Kiswahili.... There is a difference between join and follow yaani nlikuwa guest jamii forum ALAFU nikajoin ndio ni changie kwa hii THREAD yenye ilianza 2017 Jan 08.... Umeshika??
we jamaa ni mtumwa kifikra ila hujitambui tu!!unang'ang'ania English kana kwamba ni lugha yako??nyie ndo maana mnaolewa kwa kushobokea vitu si vyenu..
 
Nkt! We kwanza acha ni kuchanue kiasi ju nikama hujielewi.... Do you know the origin of swahili?? Jibu hio swali alafu ujiulize kama we ni mswahili Ujinga peleka kigoma bana.... English ni international language Acha ushamba buda.... Kama Kiingereza ni Miujiza kwakwo basi sijui ukiskia French utasemaje....
 
Umechambua murua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ