Kwani density ndo maendeleo. SMHtunaangalia density of the area yani west haiwezi density ya ilala pekee na kila siku magorofa yanapanda ππ
Rudi shule upate elimu.we unafkiri vp??πππ
maana ww ndio mwenye elimu sasa tueleze vzr unafkiri vp????πππRudi shule upate elimu.
Mimi sihitaji elimu kujua population density sio maendeleo wewe ndo unahitaji hio elimu.maana ww ndio mwenye elimu sasa tueleze vzr unafkiri vp????πππ
am not talking of population density my friend am talking of land densityππππMimi sihitaji elimu kujua population density sio maendeleo wewe ndo unahitaji hio elimu.
Hahahaha land density tena, enyewe masomo muhimu.am not talking of population density my friend am talking of land densityππππ
masomo muhimu sana tena πππ mm naongelea majengo unageuka na populationππHahahaha land density tena, enyewe masomo muhimu.
Sasa umetoka kwa land umerukia majengo hahahahahamasomo muhimu sana tena πππ mm naongelea majengo unageuka na populationππ
vovote tu ni uelewa wako japokua najua unatapatapa na mfamaji haishi kutapatapa ilala imekusumbua kichwa sasa hujui cha kufanya kama mlijua hii ni ile dar ya 90s basi mumechelewa sanaππππSasa umetoka kwa land umerukia majengo hahahahaha
kwanza karibu sana mgeniππππ nafurah nikiona munafungua acc mpya kila leoAvic complex alone beats the two tower Dar is slum lol!
Inisumbue kivipi na picha za 3 years ago hakuna kitu hapo jaribu kutulia. Westy sio CBD ya kulinganisha na hio usingizi upcoming ya Ilala bado mko ndogo.vovote tu ni uelewa wako japokua najua unatapatapa na mfamaji haishi kutapatapa ilala imekusumbua kichwa sasa hujui cha kufanya kama mlijua hii ni ile dar ya 90s basi mumechelewa sanaππππ
ohh kumbe westy ni CBD ryt???ππππInisumbue kivipi na picha za 3 years ago hakuna kitu hapo jaribu kutulia. Westy sio CBD ya kulinganisha na hio usingizi upcoming ya Ilala bado mko ndogo.