Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mlitwambia wamebadili zote zitakuwa over 40 floors. Chakushangaza wamefanya party yaku top up hizo towers. Kuna dalili zawao kuishia hapo. Usituonyeshe renders
Mlitwambia wamebadili zote zitakuwa over 40 floors. Chakushangaza wamefanya party yaku top up hizo towers. Kuna dalili zawao kuishia hapo. Usituonyeshe renders
dalili pengine za mvua tu...hili ni jengo litakalobadilisha landspcape ya Nairobi milele..
176m sasa fananisha na jengo lenu mbilikimo la 150m
 
largest port in EA right there
 
Mlitwambia wamebadili zote zitakuwa over 40 floors. Chakushangaza wamefanya party yaku top up hizo towers. Kuna dalili zawao kuishia hapo. Usituonyeshe renders

[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu si umuache tutakuja kumuuliza siku watu wanaondoa crane[emoji2]
 
Asante kwa kutuonyesha rendersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kwanini uumie bana wakat sisi matabibu tupoπŸ˜€πŸ˜€
google earth huipendi kabisaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› na youtube pia bro huipendi????
 
sasa mitanzania wako pale Kariakor sie ndio huwa tunapitia pale avic kupiga picha na kupost skyscrapercity ila wanjifanya wajua mengi sana..sisi ndie huwa tuna chat na ma contractor wachina ila wajinga wanatapa tapa hapa kana kwamba wanaishi westlandsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hilo jengo nawaambia ni zaidi ya 40 floors mpende msipende ...maumivu yanakubaliwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sisi tunasubiri siku crane imetolewa sasa tuhesabu floorsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maana nilihesabu prism nikakuta 29 mkatudanganya mchana kweupe 34πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
sisi tunasubiri siku crane imetolewa sasa tuhesabu floorsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maana nilihesabu prism nikakuta 29 mkatudanganya mchana kweupe 34πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
sasa jengo lipo jijini Nairobi...wewe mkaazi wa kariakor unahesabu jengo kwa picha unadhani umefika...lakini we jamaa kuwanga seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sasa jengo lipo jijini Nairobi...wewe mkaazi wa kariakor unahesabu jengo kwa picha unadhani umefika...lakini we jamaa kuwanga seriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sisi tunasubiri crane itoke tuhesabu floors hilo tu wala hakuna haja ya kuliaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii nini sasa, ndo maana inaitwa ilala ju imelala tu, huwezi compare westlands na hii usingizi.
heheh umeona na hio picha ni ya 2 yrs back sasa hvi ni mara mbili ya hio picπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sisi tunasubiri crane itoke tuhesabu floors hilo tu wala hakuna haja ya kuliaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kusubiri pia ni kwa hiariπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mna uhuru wa kusubiriπŸ™„πŸ™„..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…