Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wangapi kwa forums zenu hutype broken swahili...
especially wale wa bara ,wale wa pwani ndio wanaifahamu vizuri hao wengine bure kabisa
Fika Arusha na mwanza ndio utajua hamjui kiswahili
kila mtu anashrub!!!
hilo jambo lipo kila sehemu hata mchina aliye town na mchina aliye village kimazungumzo wa aina tofauti yakimaongezi.....na pia kwenye kutype

hata hao wazungu wenyewe unowaabudu kama wame zako nao wapo kibao tu wanaokosea sema ni vile unavyojihisi wajua english angali hauijui ipasavyo .....

kwa hiyo point umefel
 
Hivi unajua kama Dar es salaam ndio mji pekee duniani unaongoza kuzungumza Kiswahili
[emoji2] [emoji2] hasa kwanini dunia nzima inajua kama kiswahili ni lugha ya tanzania..?..sembuse wewe usiye na tafiti zozote......

wazungu waliokuowa wanajua ila wewe leo unawabishia wame zako....utachapwa taraka ujue
 
She was complaining alot why we do not have alot of Tz brands in Kenya while in Tz Kenyan Products are everywhere.
serikali yenu haijiamini kabisa ........mnazuia bidhaa za tz....

namkija kuruhusu pasipo vikwazo na propaganda mmeumia mazaga yote ya tz yatakuja huko na mwisho wa siku viwanda vyenu vitadorora

tatizo mnaogopa ushindani na tz
 
wakenya hawajiamini....
 
Kama hauna point nyamazatu.. Nani anachukia Magu??? Magu mwenyewe ndiye alitenga Kenya hadi waleo hajahii kuja..hata uwapisho wa Kenyatta hakuja ilihali Kenyatta alikuja yake.

Mlinyima kenya mahindi wakati kiangazi ilikua mwingii. Tulikazia wheat na Gasi AFTER mmekazia bidhaa za kenya zimekaziwa kuingia Tz.
 
serikali yenu haijiamini kabisa ........mnazuia bidhaa za tz....

namkija kuruhusu pasipo vikwazo na propaganda mmeumia mazaga yote ya tz yatakuja huko na mwisho wa siku viwanda vyenu vitadorora

tatizo mnaogopa ushindani na tz

I have been in industry for long.. The problem with Tz companies are not aggressive outside Tz. Tz has to work on marketing and distribution channels to get into any new market. Kenyan products have been able to penetrate Tz because of the same reason..

We are working on ways of how Tz can access Kenyan market through the strong distribution channels.
 
sawa mpo kitambo kwenye industry maana naona mshajihisi kama ninyi ndiyo magwiji wa viwanda kwa africa na dunia

swali laja kama ifuatavyo kulingana na ukomavu wenu wa sekta ya viwanda kama jinsi ulivyoseme kwa kujikubali ...ni kwanini mlimzuia bakharesa kutengeneza kiwanda mombasa na vilevile kwanini mkawa mnazuia bidhaa za tanzania kuja kenya angali zenu tulikuwa tunazipa nafasi. ?

JIBU KIKUBWA USIROPOKE NA USILETE SIASA ZA NCHI
 
Kaa chunguza na ujue chanzo ni nchi gani...

acha siasa
 
mko n a ngapi nyinyiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sisi hatujashiriki lakin chakuskitisha kila mwaka munakufa miguu juu sio kwenye uchumi na sio kwenye maendeleo wala sio kwenye michezo hakuna sector muna nafuuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…