Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jidanganye ili uhisi vizuri.
Najua moyoni uko.na.machingu hhhhhhh
Kenya Mbele
Ndege za Ku lease baby hamuna kitu hapo hahahahhahahhaha kwanza Shirika lenyewe lina run loss up to date hahahhahahahhaha 4 yrs now lina run loss hhahahahhahaha
 
hii bagamoyo sindio ilikuwa inatofautishwa na lamu port.....choo boy hebu tuambie imefikia wapi
 
U
Umesoma Hahahahhaha enhhh umeona mambo hayoooo tunazalisha umeme wa gas kwenu historia hio hahaha tuna natural gas 57 trillion cubic feet hahahahhahaha aise 😀😀😀😀😀😀😀
Umeona Bagamoto port hapi juu?
Bwahahahaha
 
Pesa hamna...
Hakuna haja ya kubishana.
Mwenye nguvu.....
Hahahahhahahha ingekua hakuna pasingejengwa port ya 11 billion USD hahahhahahha pole sana my friend umeisoma budget yakenya mwaka huu munaomba msaada nje 600 billion kenya shs hahahahhahaha
 
hii bagamoyo sindio ilikuwa inatofautishwa na lamu port.....choo boy hebu tuambie imefikia wapi
😀😀😀😀 kua mpole acha mapepe utajua itakapokamika ndipo utajua ilikua imefika wapi unafkiri sisi tunataka sifa
 
Hahahahhahahha ingekua hakuna pasingejengwa port ya 11 billion USD hahahhahahha pole sana my friend umeisoma budget yakenya mwaka huu munaomba msaada nje 600 billion kenya shs hahahahhahaha
Tz government abandoned bagamoyo and instead expanded dar port...ata hujui nchi yako msee.
 
Hahahahhahahha ingekua hakuna pasingejengwa port ya 11 billion USD hahahhahahha pole sana my friend umeisoma budget yakenya mwaka huu munaomba msaada nje 600 billion kenya shs hahahahhahaha
Shida iko wapi...tutakopa hadi izidi.
Bagamoyo mkashindwa kujenga juu ya hela sasa mmeanza kusema mnajenya reli ya umeme
Hhhhhh
Tz mnanifurahisha na upumbavu wenyu
 
😀😀😀😀 kua mpole acha mapepe utajua itakapokamika ndipo utajua ilikua imefika wapi unafkiri sisi tunataka sifa
Bagamoyo port kutamuuuu..
IMG_20170402_205554_411.jpg
.
 
Nakwambia Tz ni nchi ya umaskini wa kutupwa
Hatujafkia kiwango cha kuishi kama watu wa kibera,korogocho,mathare,kayaba,giturei,mwiki,umoja etc  😀😀😀😀😀😀
Vipi bado munapambana na njaaa munaomba msaada musaidiwe njaa imewazidia jahahhaha
 
Back
Top Bottom