Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tupo hapa tunasubiri hatutokimbia hata hio 2020 mimi nitakua hapa hapa Mola akinifikisha
haki nyinyi watu mpo so disorganized.
na ndio maana huko kwenyu kila jambo mnali-judge kwa mitazamo ya kikabila badala ya utaifa.

wakati unasema mtakuwa hapa mpaka 2020,huyu kilaza hapa chini anawashauri mkimbie thread. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116]
Kenyans let's stop commenting on this forum.
 
kwa hivyo ulitaka sote tuwe na fikra moja?...ama umeskia sisi wakenya wa JF tunishi sote nyumba mojaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nairobi ina estates zilizoachana achana bro...sio nyote mmekwamiana hapo CBD kama viberiti huku mna mitungi ya maji kichwani kana kwamba sijui mnaelekea kuchota maji PSPA Towers ichoboy yupo pale kariakor anateka maji ili arudi kwenye duka la mhindi, tuusan naye yupo hapo pia anapiga mswaki huku amevaa towel, mwingine yupo hapo CBD anauza samaki, nawe upo hapo unapiga story na mabeshte wako wa Manzense
 
mtaenda forum gani kama si jf?... , mna forum yoyote huko kenya inayoaweza kupimana na jf?... nitajie,but please usinitajie ile takataka yenyu inaitwa JamiiForums.com.[emoji23] [emoji23]

wakenya jf hamwezi kuikimbia...mnaenda nairaland but matusi ya wanaija yakiwazidi mnarudi jf kuja ku socialize na sisi jirani zenu watz. [emoji23] [emoji23]
 
Matatu inaingiza ela lakin yakishamba tu
 
mbona tupo Quora, Skyscrapercity, Nairaland, City data.com, Reddit, JamiiForums.com, na broadband south africa...hizo zote ni forum tunaingia ili kupata exposure..wanaija tunajua jinsi tunavo deal nao ilhali ni watu vichwa maji kama nyinyi hapa tu
 
na hawa wako uptown sio downtownπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Matatu inaingiza ela lakin yakishamba tu
anatufunga mchana kweupe eti 15 passenger matatu iingize 12000 ksh yani pesa inayoingisa coster dar na inabeba watu zaidi ya 35πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na hawa wako uptown sio downtownπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 741675
usione hapo ni lami ukadhani ni Nairobi main CBD ....Nairobi kuna uptown (Upperhill, Westlands, na CBD ilio karibu na Times Towers na KICC....kisha kuna area ya ma hustler aka kina Ngara, Bus Station, Machakos country bus, Marikiti na Gikomba ambapo zipo pia karibu na CBD...sasa nataka unioneshe hawkers walio katika maeneo hayo nmetaja tafadhali...ukipata unitag
 
How many days will the garimoshy travel from Kenya to Uganda, probably a week ama namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…