Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 615
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti mitungi ya Gongokatueleza oilpipeline kashachemka tayariππ
tanzania inayo oilpipeline since 70s to zambia
nyie munajenga leo au????
SGR ya tanzania sio diesel verry sorry ni modern electric train in africa na ukumbuke rail ya tanzania ni continuous welded yenu ni bolt jointed yani full vibration kipi tumeiga kwenu???
yani sisi tuige kuleta mitungi ya gongo iliotumika 100yrs ago ππππππ
View attachment 737610
Kumbe upo nilijua umekufathis is airport for a third city
just ask tz to bring airportππππ
nipo chokoraa wa uswazini...Kumbe upo nilijua umekufa
sawa mkaazi wa tandaleTuliza Bichwa uelewe jamaa kasema your main driver of your economy is private sector different from Us who depend on government in major project.Nikasema mtakuja kuiuza nchi kwa Mabepari kama kila kitu mtawategemea Wao.Tuliza ndonga mkikuyu wa Mathare uelewe.
Wait finishing.......Ebu tuambiane ukweli bila ushabiki. Unataka kusema hili jengo liwarehouse ni modern?
View attachment 736202 View attachment 736203 View attachment 736204
Wakati unasema hili ni la 1978? Una kichaa wewe.
View attachment 736205 View attachment 736206 View attachment 736207
Hatutaki maisha yakucopy ........tunaimba kwa kiswahili mwanzo mwishoukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia naniππππ..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..
mwimbe tu kwanza hata mnajua lugha nyingine gani??ππππ..kiingereza afadhali hata chokoraa wa nairobi ama mtoto wa nurseryπππ..Hatutaki maisha yakucopy ........tunaimba kwa kiswahili mwanzo mwisho
Sisi ni Waswahili na hayo mavazi ndiyo utamaduni wetu na tunajivunia.wapo cbd ila wamevaa utadhani wapo mashambaniππππ...wana sijui nini vichwani...duh! hawa ndio middle class eti
Dalili za uchizimwimbe tu kwanza hata mnajua lugha nyingine gani??ππππ..kiingereza afadhali hata chokoraa wa nairobi ama mtoto wa nurseryπππ..
kwani uongo bro? ππππnyie hata the most learned people speak poor broken english...kuna judge flani aliandika vituko kwenye barua sijui hio barua iko wapi...imagine yule ni jaji...duh! kwa hiyo mwimbe tu lugha mnayoijua msije mkajiaibishaπππDalili za uchizi
jibu nzuriSisi ni Waswahili na hayo mavazi ndiyo utamaduni wetu na tunajivunia.
Ni uwongo.............kwani uongo bro? ππππnyie hata the most learned people speak poor broken english...kuna judge flani aliandika vituko kwenye barua sijui hio barua iko wapi...imagine yule ni jaji...duh! kwa hiyo mwimbe tu lugha mnayoijua msije mkajiaibishaπππ
Sisi ni Waswahili na hayo mavazi ndiyo utamaduni wetu na tunajivunia.
So waswahili huteka maji katikati mwa jiji? Hata Mombasa ni mji wa waswahili lakini sijawahi ona mambo kama haya kuleSisi ni Waswahili na hayo mavazi ndiyo utamaduni wetu na tunajivunia.
Nashukuru makaazi wa Mathare unaeshabikia estates wakati unakaa kwenye nyumba jumba la mabanzi kama zizi la kondoosawa mkaazi wa tandale
Kwa hiyo Kenya kunasare za CBD na za porini [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dunia ina mambo kweliwapo cbd ila wamevaa utadhani wapo mashambaniππππ...wana sijui nini vichwani...duh! hawa ndio middle class eti
Sawa tumekusikia mzungu mweusi. Tutafanyia kaziukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia naniππππ..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..
Nadhani kwenda Nairobi CBD itakua lazima uvae suti. Those ladies are free to go anywhere in that city.wapo cbd ila wamevaa utadhani wapo mashambaniππππ...wana sijui nini vichwani...duh! hawa ndio middle class eti
So waswahili huteka maji katikati mwa jiji? Hata Mombasa ni mji wa waswahili lakini sijawahi ona mambo kama haya kule