endelea kulia tu kama kawa ππππarrivals hazijafika hata mil 2 mtu anajigambaπππππama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Firauni...JKIA arrivals ni mil 8 Mombasa airport ni mil 1.5
akikupa unitag ππππGive us the traffic numbers to this white elephant built by tenderprenures
8 ni ndoto kwenu tena hio sahau JKIA ina handle 4.5m to 5m only naomba niletee official link of 8mtrain station ya Nairobi tu inawatia aibu in terms of infrastructure na hata arrivals...airport haijafika hata arrivals mil 2 mtu anaimba imba hapa wakati joburg ina handle mil 20...JKIA ina handle mil 8...addis ababa ina handle mill 9...Cairo mil 20
naomba unioneshe direct passenger flights to isiolo am waiting broπππππGive us the traffic numbers to this white elephant built by tenderprenures
safi kabisa umenena maneno mazuri sanaIsiolo is An Airport, with a highway serving it. How is an airport's traffic dependent on other lappset projects? Dont try to hide the nakedness of a white elephant with fig leaves
uhaahha umia taratibu plzππππhiki** kitu. Na mnaringa mna kiswahili fasaha huko Dar
Similar to likoni bridgeselander bridge dar es salaam
View attachment 737195
au kwa kiswahili chao wanasema fimbo inachapaWatu wa pwani tunaziita Bakora
Haswaaau kwa kiswahili chao wanasema fimbo inachapa
likoni bridge watasubiri 100yrs to comeπππSimilar to likoni bridge
hahahaha wako wapi hao passengers...nimekwambia 2 mil tu sio kitu ya kujigamba...hata kibanda ya mama mboga tu inapata watu zaidi ya hao kwa mwakaπππππendelea kulia tu kama kawa ππππ
hakuna siku upo bila kilio wewe
kwaa taarifa nayokupa JNIA kwa sasa ina handle over 3m passengers na imezidiwa kabisa ndio maana giant terminal 3 iko katika hatua za mwisho kumbuka terminal 3 will handle 7.2m passengers keep it in ur mind the modern terminal building in east and central africa ambayo ime cost 560m usd
ww ukishindwa point hua unakumbilia stations wtf mchina kitu aliwajengea hapo ni stations tu reli na train zote zilitoka beijing museum zilizotumika 100yrs ago yani kwenye ile 4b usd mkopo wa mchina msa to nai mliambulia stations tulet me give you a taste of modernity...mind you, this is just a train station..not an airport
2 mil mtu anajigamba duh!πππ8 ni ndoto kwenu tena hio sahau JKIA ina handle 4.5m to 5m only naomba niletee official link of 8m
πkilio cha chura kwenye mtaroπππkwani nimedanganya bro? hio trains station imezidi vibanda vyenu vya kukuππama nlete picha tufananishe? si unajua ni aibuπππww ukishindwa point hua unakumbilia stations wtf mchina kitu aliwajengea hapo ni stations tu reli na train zote zilitoka beijing museum zilizotumika 100yrs ago yani kwenye ile 4b usd mkopo wa mchina msa to nai mliambulia stations tu
ila mchina ni mwanaume kweliππ
uwezo wake ni 2.5m lakini imeshazidiwa mpaka sasa ina handle over 3m passenger ndio maana wanaharakisha giant imalizike mapema ili international flights zote zihamie huko na terminal two kumbuka ila under go huge maintenance na wafaransaππππhahahaha wako wapi hao passengers...nimekwambia 2 mil tu sio kitu ya kujigamba...hata kibanda ya mama mboga tu inapata watu zaidi ya hao kwa mwakaπππππ
giant ipiπππ...ikwapi?ππππuwezo wake ni 2.5m lakini imeshazidiwa mpaka sasa ina handle over 3m passenger ndio maana wanaharakisha giant imalizike mapema ili international flights zote zihamie huko na terminal two kumbuka ila under go huge maintenance na wafaransaππππ
View attachment 737201
mm nshakujulia mbona ukiishikwa tu kidogo unakumbilia station yani hu unanifurahisha sana mbona treni hzo na reli huonesh ππππ mchina kiboko aiseeπkilio cha chura kwenye mtaroπππkwani nimedanganya bro? hio trains station imezidi vibanda vyenu vya kukuππama nlete picha tufananishe? si unajua ni aibuπππ
wacha hata treni station bro...airport nimekwambia hata ya isiolo ni bora kuliko vibanda vyenu...ila sitaki niwaaibishe leo weekendπππmm nshakujulia mbona ukiishikwa tu kidogo unakumbilia station yani hu unanifurahisha sana mbona treni hzo na reli huonesh ππππ mchina kiboko aisee