Masterkratos
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 584
- 576
Ebu tuambiane ukweli bila ushabiki. Unataka kusema hili jengo liwarehouse ni modern?
View attachment 736202 View attachment 736203 View attachment 736204
Wakati unasema hili ni la 1978? Una kichaa wewe.
View attachment 736205 View attachment 736206 View attachment 736207
Sasa utalinganishaje kitu ambacho hakijakamilika na kilicho kamilika? Mbona jkia sioni viti?.
kwanza hata si ati tz ina muziki nzuri...tuseme tu ni bora kuliko ya Kenya ila ni mbovu tu pia...same to nigerian music...huwa siskizi upumbavu wa bongo/nigerian music mie....endeleeni kushoot video kwa counties... sisi na umasikini wetu tutaendelea ku shoot videos USA, south africa na europe sababu pesa ya kufanya hivo tunayo.
tunafanya hivo ili kucheza na diversities katika kiwanda cha mziki.
na ndio maana kwa east africa, music videos zinazoongoza kuchezwa na international tv channel, ni zile za kutoka bongo.
tazama channel kama mtv base, box africa na trace tv. [emoji23] [emoji23]
hilo sasa povu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwanza hata si ati tz ina muziki nzuri...tuseme tu ni bora kuliko ya Kenya ila ni mbovu tu pia...same to nigerian music...huwa siskizi upumbavu wa bongo music mie....
ukisika povu ndio hilo sasa...hahahaha viva tanzania.apart from diamond hakuna muziki tz......ujinga wa kawaida tu.
ukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia nani😀😀😀😀..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..hilo sasa povu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
apart from diamond hakuna muziki tz......ujinga wa kawaida tu.
Kwa Trace mziki east africa...kenyan songs top ten ni 5,uganda 2,tanzania 2,rwanda 1.....
sauti sol ngoma mbili ziko top ten...alafu mtu anasema sauti wamekufa
wewe endelea tu kuji console.Infact no. one since a fortnight ago ni bebi bebi ya Nyashinski ikifatwa na africa beauty ya Diamond
Ninyi mnaotumia kiingereza mziki wenu umefika wapi?, hayo mawazo yako yangukiwa ya maana ungewaambia wakenya ili angau mziki wao ukafikia level ya Tanzania, kujua kwingi wakati mziki wenu unazidi kupotea.ukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia nani😀😀😀😀..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..
JNIA hata arrivals millioni mbili haifiki sasa ndio ya kazi gani😀😀😀Hujielewi. JKIA ilikamilika kitambo. JNIA ndio halina viti na linawatia kiwewe.
Hahahahahaha, next year JNIA capacity will be 9M per year while JKIA is 7M, mtajibeba this time, the same year Dar- Moro bullet train, ths only in Africa will kick off. Stay calm but tuned.JNIA hata arrivals millioni mbili haifiki sasa ndio ya kazi gani😀😀😀
Stupid colloh mzii is back again with a new IDOH my Gahd comparing tz with Kenya ni ka kucompare Johannesburg na Bujumbura, , ,,