Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiyo hit huku tz hakuna anayejua... itaishia kuvuma huko huko kwa counties zenyu. [emoji23] [emoji23]
Sauti solo bado wapo kweli?
Ligi ya TZ ni nzito sana. Kwanza watanzania wenyewe wanawapenda wasanii wao.
Sauti solo na misauti yao kama waimba kwaya hawawezi ligi.
 
Souti sol wiki nzima views 419k pekee




Nendy Music siku moja views 135k




Sauti sol ni wadogo sana kwenye anga za muziki
 
Those tz musicians are not patriots video wanashoot ulaya afrika kusini na marekani ju nchi kwao ni maskini na underdeveloped
Wakenya wengi hasa wasomi wameikimnia nchi yao wako nje wqnafanya kazi wakati Kenya ina upungufu mkubwa wa wataalamu hasa doctors and nurses, kwanini wasibaki Kenya kuwahudumia wananchi, are they not patriots, au kwasababu Kenya is very poor and underdeveloped?
https://www.nation.co.ke/news/polit...peaceful-poll/1064-1893004-j93e9vz/index.html
 
watshoot video tz gani?? hii moja tu??😀😀😀😀lazima waende marekani ama afrika kusini...wanatoroka umaskini na ubaradhuli wa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…