Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahah kadoda,mbona asiipelekee Dar,
juu huko watu ni poor they cant afford ticket ya $100 na show iwe sold out...
tayari rickross tulishawahi kumleta tz na aka perform... kwa sasa hatuna haja naye. hii ndio shida ya kula githeri mda wa evening...after 10 minutes lazima tumbo ijae gas. matokeo yake unaanza kujamba hovyo hovyo mbele za watu bila hata kuona aibu. [emoji23] [emoji23]
 
itachukua miaka Mingapi hata ukasahau kuitaja maana unaogopa.

kwasasa nai inaizidi dar upana wa Barbara si urefu,dar ina Barbara nyingi na ndefu zaidi.
La muhimu nilitaka ujue ni kwamba outtering rd bado iko under construction. Hizo story mingi zako za vijiweni peleka tandale au mwanyamala kwa uswazi
 
The most important thing ni kwamba message umeipata
 
yahhh....hivyo ndivyo dar itakuja kuwa.....city yenu ya nairobi ni local sana .....mpaka mkija fika huko ni miaka trillion 99999999 angali dar itachukua miaka 40 tu
Hahahaha...some dreams are just not valid. Wewe kwa akili yako unaona huo mji wenu ambayo haina mpangilia iko na uwezo wa kufikia chicago? Anzeni kwanza kwa kuplan upya dar kwa kubomoa majengo yote hapo cbd kisha mmalizie na zile dream houses zenu
 
kweli kabisa ....upo makini
Now which one is more important? Bendera ya tanzania au jina ya hilo jengo? I can clearly see a place written 'Moi Teaching and Referal Hospital'. Hata nyinyi pia mnajaribu!
 
Sasa kama wanajiweza kwann wasipate kazi? ?tunajigamba si pesa tulitoa su ulifikiri walishindwa kuichorea ijengwe Kenya kama mlikua na hela
Point yangu ni kwamba pengine hamna waandisi waliobobea
 
Now which one is more important? Bendera ya tanzania au jina ya hilo jengo? I can clearly see a place written 'Moi Teaching and Referal Hospital'. Hata nyinyi pia mnajaribu!
Kwanini msiweke bendera ya Kenya mnaweka ya tz ,au ndio mambo ya failed state
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…