Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

USAiD even donates cash to Tanzania jinga hii.........Melinda and Bill gates foundation too.....ama nikuletee list ya donors to Tanzania.....heri sisi most of the donations end up in kakuma and dadaab refugee camps which host millions of people
Acha ujinga ujinga kijana...Kenya iko na masikini wengi sana mnahitaji misaada sana tu...sijui mlikua lmic kivip..thats why even Angola wako na GDP kubwa yenu na yetu combined but ni ldc...GDP inadanganya
 
mpanda katavi bus stage kenya huwez pata
View attachment 731841
Kenya hawana civilised life style ya kuwa na bus stages sijui kwa nini! Hata ma bus yao makubwa kama AKAMBA hawana stages zao. Ukipita outering utashangaa matatu zina simama kokote nakushua watu, mara kadhaa ajali za kizembe zina tokea.

Siyo kwa ubaya Nai ingejifunza kitu kutoka Dar kwenye hili, kila mkandarasi anapo pewa kazi ana oneshwa na sehemu ya kuweka stages za bus. Outering ata zebra crossing for pedestrians ni tabu
 
You are talking about outering road ambayo bado inajengwa. Hata saa hii kuna sehemu bado zinachimbwa, taa za barabara hazijawekwa na hata footbridges pia bado. And why did you just mention outering? coz unajua bado inajengwa. Ndugu yangu, kama kuna sehemu Dar haipaswi kujilinganisha na Nairobi ni sekta ya barabara. Nairobi has better roads kucompare with Dar. picha tumezileta mingi sana hapa
 
Dar na Nairobi ni the biggest cities in their countries,hivi tunajua. Lakini kwa upande wa tz, nawaelewa kwa kuwa mna uchungu Kenya ipo juu yenu, si facts zikue facts tu, Nairobi is far much developed ,way better than your dinghy town, kibera ndio naona mmeitumia kutushtumu,wengi wetu wakenya hata hatujui vile kunakaa kibera, na mnatamani mngekuwa mkiishi Nairobi, ju it's way better, na imajin kuishi tanzania, pesa kubebwa na gunia,,, ,,,shieeeeeet!!!!!!
 
Acha ujinga ujinga kijana...Kenya iko na masikini wengi sana mnahitaji misaada sana tu...sijui mlikua lmic kivip..thats why even Angola wako na GDP kubwa yenu na yetu combined but ni ldc...GDP inadanganya
Angola has oil bitch! And diamonds,,, ,us agriculture,,, but we're more developed than them, ,,,haha
 
breaking news.
diamond platnumz's wasafi tv is officially on air. inapatikana ndani ya decoder ya azamtv kupitia channel namba 122.
hapa kazi tu. [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

NB:
kuna siku niliwahi kuwa-challenge wakenya watutajie investment za wanamuziki na macebrity wa kenya ambazo zinatoa ajira kwa vijana na kulipa kodi serikalini.

baadala ya kutimiza nilichowadai, wakaishia kunitolewa mapovu.

hongera sana diamond platnumz. action speak louder than words. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kama hujawahi fika kibera ndio itafanya kibera isiwe sehemu ya nbo?haha unataka kusema kibera is the only slum that you have in nbo isn't? Btw Dar is growing so fast and nicely,nbo is not yet developed city usiwe zoba
 
Kenya ranked as 'failed state'
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
That is according to you, why USA is closing its border with Mexico and even Trump is building a wall, even Kenya is building a wall with Somalia. Tanzania like USA surrounded with poor, corrupt, and big number of jobless neighbours is the one likely to lose if there will be easy and free cross border movements. Majority of jobless Kenyans will bring crime, corruption, tribalism and land grabbers.
 
Kama hujawahi fika kibera ndio itafanya kibera isiwe sehemu ya nbo?haha unataka kusema kibera is the only slum that you have in nbo isn't? Btw Dar is growing so fast and nicely,nbo is not yet developed city usiwe zoba
Najua dar inadevelop buh not more than Nairobi mbona pinnacle haijaletwa huko,,, and many more other skyscraper projects,,,,, and nimeona dar kuna very down graded streets,,,, kenya has the triple number of embassies tz iko nazo na multinational companies using nbo as their hq ni mob hii Nairobi is infrastracturised kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…