Tunasaidia omba omba wenu wasiokuwa na mbele wala nyumba katika barabara za miji yetuMbona huiibu swali unakwepa?, USA in deni lakini bado uchumi wake ni imara kuweza kuendelea kutoa misaada duniani, Kenya ina madeni js inasaidia nani wakati hata chakula ni shida?, usijilinganishe na tajiri, hata kama ana deni, lakini uchumi wake ni imara, sio sawa na Kenya
Ingekuwa ni hivyo saa hii hatungekuwa mbele yenu kiuchumi na kimaendeleokuna mchumi wenu aliongea akasema kenya inakopa pesa kwa ahili ya consuption and not development mkamuona mjinga sana sasa leo hii mumefkia hatua ya kukopa deni kulipa deni...ππππ yani mumefkia hali mbaya sana mpaka serekali inakiri haina pesaππ
wangekua watanzania mungewarudisha siku nyingi sana ππππTunasaidia omba omba wenu wasiokuwa na mbele wala nyumba katika barabara za miji yetu
tanzania imeanza kuamka just 10yrs na sasa tuko na small gap kwenye GDP so unategemea nn 5 yrs to comeππIngekuwa ni hivyo saa hii hatungekuwa mbele yenu kiuchumi na kimaendeleo
Kati ya hao ombaomba ambao ni disabled na watoto, na nchi inayoomba chakula, nani ni aibu zaidi?Uliniuliza tunawapa akina nani misaada na nikakukumbusha tu kwamba Tanzania kupitia omba omba wao jijini nairobi, ni moja ya nchi ambazo kenya huzipa misaada. mbona unakasirika na ni jibu tu ndo nimekupa?
Wonders gani wakati kujikwamua kutoka ldc imewashinda miaka hamsini tangu muanze kujitawala?? That is the biggest wonder you can do to your motherland, Tanzania. Hizo miradi umetaja hapo juu karibu yote yako kenya na mengi yamekamilika. Tafuteni rika zenu mjilinganishe naosmall GDP lakini inaonesha wonders kwa kufadhili miradi mikubwa ambayo kenya imeshindwa na imedai haina pesa hahahahππππ
kwa uchache
SGR mpaka sasa kwa 2phase 3.16b usd
stiglers gorge dam 2b usd
kinyerezi 2... 300m usd
7 new aircraft over 1b usd
JNIA terminal 3...560m usd
Uhuru trolled for receiving 'food rations' from UAE - Nairobi NewsTunasaidia omba omba wenu wasiokuwa na mbele wala nyumba katika barabara za miji yetu
Kwa hivyo leo umekubali ni watanzania? Mumewakana siku mingi sana as if sio watanzania wenzenu. KongoleKati ya hao ombaomba ambao ni disabled na watoto, na nchi inayoomba chakula, nani ni aibu zaidi?
Uhuru trolled for receiving 'food rations' from UAE - Nairobi News
stupid failed state
kwan nyie mumetoka lini 2014 unaona ni miaka 10 au???ππππ na kilindi chote tanzania ilikua bado haijaamka leo imeamka just 10 yrs munalia kama watoto banaWonders gani wakati kujikwamua kutoka ldc imewashinda miaka hamsini tangu muanze kujitawala?? That is the biggest wonder you can do to your motherland, Tanzania. Hizo miradi umetaja hapo juu karibu yote yako kenya na mengi yamekamilika. Tafuteni rika zenu mjilinganishe nao
Biggest wonder ni kuwa failed state, na hakuna dalili kama mtatoka katika kundi la failed state ndani ya miaka kumi ijayo.kwan nyie mumetoka lini 2014 unaona ni miaka 10 au???ππππ na kilindi chote tanzania ilikua bado haijaamka leo imeamka just 10 yrs munalia kama watoto bana
si muwarudishe sasa kama watanzania kwan shida iko wap hahahahππππKwa hivyo leo umekubali ni watanzania? Mumewakana siku mingi sana as if sio watanzania wenzenu. Kongole
Rome was not built in a day my friend. Kama umekiri kwamba mumeamka just 10 years ago basi mjipe miaka kama hamsini hivi ndo muanze kufikiria kufikia kenya kiuchumi na hata kimaendeleo. Hata hii kenya yetu haikufikia maendeleo inayo saa hii in a flashlight. it takes a lot of time and commitment to have meaningful development. kwa saa hii you are in a transition stage.tanzania imeanza kuamka just 10yrs na sasa tuko na small gap kwenye GDP so unategemea nn 5 yrs to comeππ
Wawe watanzania au hapana, jibu swali kwanini hadi leo, miaka 54 tangu Kenya ipate Uhuru bado hamuwezi kujilisha mnaomba chakula, kwanini mliamua kujitawala?, bora muwe chini ya waingereza wawachape viboko lakini mtakuwa na uhakika wa chakula.Kwa hivyo leo umekubali ni watanzania? Mumewakana siku mingi sana as if sio watanzania wenzenu. Kongole
na hio miaka 10 ndio inawanyima usingiz mpaka leo hii ndio maana gap ya gdp imepungua sana tena sana na miaka 5 ijayo mutakaa mkao wa kulaπππRome was not built in a day my friend. Kama umekiri kwamba mumeamka just 10 years ago basi mjipe miaka kama hamsini hivi ndo muanze kufikiria kufikia kenya kiuchumi na hata kimaendeleo. Hata hii kenya yetu haikufikia maendeleo inayo saa hii in a flashlight. it takes a lot of time and commitment to have meaningful development. kwa saa hii you are in a transition stage.
Tanzania is a banana republic with a banana economyWawe watanzania au hapana, jibu swali kwanini hadi leo, miaka 54 tangu Kenya ipate Uhuru bado hamuwezi kujilisha mnaomba chakula, kwanini mliamua kujitawala?, bora muwe chini ya waingereza wawachape viboko lakini mtakuwa na uhakika wa chakula.
Uhuru trolled for receiving 'food rations' from UAE - Nairobi News
Aliyewaambia mlale hizo miaka arobaini ni nani? Tafuteni mganga aliwaroga awasaidie kabla hajafa ndo muache visingizio visivyokuwa na misingikwan nyie mumetoka lini 2014 unaona ni miaka 10 au???ππππ na kilindi chote tanzania ilikua bado haijaamka leo imeamka just 10 yrs munalia kama watoto bana
yanekamilika kwa mikopo ππππ
SGR mkopo
lamu port mkopo
roads nyingi mikopo
yule yule collo mzii aliepokea dhuruba bila hiyanaπππππTanzania is a banana republic with a banana economy