Spenzia
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 497
- 211
Akikuonyesha jengo la 40fl unitag.....sababu sijawahi ona jengo kama hilo LDC*****
Hizo jengo mbili ziko 35floors,leta ushahidi ni 40foors
Akikuonyesha jengo la 40fl unitag.....sababu sijawahi ona jengo kama hilo LDC*****
Hizo jengo mbili ziko 35floors,leta ushahidi ni 40foors
Vipi kuhusu failed state, hizo jengo zipo?Akikuonyesha jengo la 40fl unitag.....sababu sijawahi ona jengo kama hilo LDC
salute kwako brother naelewa kazi yako
alikuonesha over 33fl kenya nzima nitag😀😀😀Vipi kuhusu failed state, hizo jengo zipo?
ukinionesha over 33fl kenya nzima nitag😀😀Akikuonyesha jengo la 40fl unitag.....sababu sijawahi ona jengo kama hilo LDC
Hiyo ni ya 35floors na ni ndefu kuliko Tpa 40 heheheeee
Unaongea as if the whole Dar is on the same level....Hiyo ni ya 35floors na ni ndefu kuliko Tpa 40 heheheeee
uhahaha sio mm ni engineer😀😀😀Hiyo ni ya 35floors na ni ndefu kuliko Tpa 40 heheheeee
Hivi ile render ya wakenya wanadai render yao inagorofa ngapi??
Sawa nimeelewa mzizima imejengwa juu ya mlima nayo Tpa kwenye bonde.....
Leta source acha kunitag vitu za kijinga,eti esteem wamesema wapi ni 40? rudi shule
Povu la nini wakati umeshaonyeshwa Buda vipiLeta source acha kunitag vitu za kijinga,eti esteem wamesema wapi ni 40? rudi shule

Picha imepigwa mzizima ikiwa foreground tpa na pspf ziko nyuma uli expect nini? Nilishaa kwambia unaeza danganya zuzu wenzako na nyanyako juu hawajasoma lakini sio mimi
Nataka source kuwa ppf na mzizima ni gorofa 40 wacha hadithi mingiPovu la nini wakati umeshaonyeshwa Buda vipi![]()
Im kenyan living in Nairobi, ,,for a while i have been reading these comments on this thread. Both Nairobi and dar es salam are developed in their own way.Ive noticed that this argument is going on with bitterness.Calm down and the truth is that Nairobi is the most developed city in eastern and central Africa. The express highways, skyscrapers, greenparks, infrastructure wise it's on top,,,,dar is trying but bado haijafikia Nairobi maybe mshindane na kampala,kigali na harare,,,watanzania mna uchungu mwingi sijui mbona mnapenda kujifananisha na sisi na bado mko down,,,,,,kuropokwa maneno tu,,,,,On the other hand, ,, Kenya is the 8th richest country in Africa,,,, tanzania is 18th richest ,,,,najua mtanitusi na kunikemea lakini sawa huo ni ukweli unaouma,,,, watanzania mna madini kama diamonds na natural gas kenya hakuna lolote lakini bado tupo mbele,,,, much of kenya is arid and agriculture is our backbone,,,, tanzania 80% is fertile na mko lazy, ,,,,,,i repeat,,,, ,the city of Nairobi competes with lagos Johannesburg,,, tangier,,, google,,,, go to YouTube muone ukweli,,, try to google dar vs lagos ama dar vs Cape Town akuna results utapata labda mshindane na bujumbura,,,, so from today onwards and upwards watanzania hii dar yenu ni shitholeDar kwa Nairobi itasubili sana tu angalia hata miundo mbinu ukweli wenzetu wapo vizuri tuache kujisifia kwa vitu ambavyo zahili vinajionesha wazi
hehehe render gorofa ziko kwenye karatasi😀😀Hivi ile render ya wakenya wanadai render yao inagorofa ngapi??
dar hakuna mlima pole sana😀😀😀😀Sawa nimeelewa mzizima imejengwa juu ya mlima nayo Tpa kwenye bonde.....
Heheheheeee hiyo namaa sana