El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
hahaha.........kiwanja cha kupalilia viaziArusha tuna kiwanja kikubwa cha KIA, so acha propaganda hicho ni cha ndege ndogo pia moshi kuna kidogo lakini mikoa hii miwili inategemea kilimanjaro international Airport .
hvi wakenya walikosea wapi??? HIO GDP wanayolilia kila siku ikwapi??ππππ
arusha airport for light aircraftGeneva yawa....mwaswast tunafika Geneva lini....hahaha.enyewe pesa ya east African community haijasaidia arusha sana
View attachment 725665
Mwambie huyo El Matako anaye criticize Arusha Airport HTR....arusha airport for light aircraft
Mkuu asikuchoshe Huyo mwanasiasa..
Takwimu za idadi ya ndege sizifahamu kwasababu mnadai wamiliki "hawajulikani" (anonymous). Lakini dondoo za mjini ni kuwa baadhi ya viongozi wenu "walafi", walitumia ushawishi wao kuilazimisha KQ kutumia ndege walizozikodi huku wakitoza rates za juu kwa kampuni ili wapate faida kubwa. Sasa kampuni iko hoi bin taaban kwenye ICU.
Ndiyo matatizo hayo ya kujifanya mabepari kuliko mabepari wenyewe.
kudos Tz
mmejaribu lakini bado sana JKIA sio ligi ndogo.JNIA the next giant in EA replacing JKIA....
View attachment 725805
endelea kujipa matuamini subirini ikamilike alaf mutaifahamu vzrππππmmejaribu lakini bado sana JKIA sio ligi ndogo.
Kwanza mjiondoe hapa muingie ligi ya wanaume.πππ kwa sasa mkabishane na kushindana na kina Somalia ama Madagascarendelea kujipa matuamini subirini ikamilike alaf mutaifahamu vzrππππ
siku mkitoka kwenye kundi hili na sisi tutatokaπππππKwanza mjiondoe hapa muingie ligi ya wanaume.πππ kwa sasa mkabishane na kushindana na kina Somalia ama Madagascar
na siku mkitoka humu mutuambie na sisi tutoke LDC piaπππππKwanza mjiondoe hapa muingie ligi ya wanaume.πππ kwa sasa mkabishane na kushindana na kina Somalia ama Madagascar
We nawe umepotea njia huku hupaweziUnafahamu KQ katika hizo ndege zinazofanya kazi za kukodi no ngapi na wanazomiliki ni ngapi?
Kukodi ni kuongeza uwezo was huduma na kibiashara hilo sio la ajabu. Tupatie takwimu hiyo kwanza ya wanazomiliki na kukodi. Kusema nyingi ni za kukodi haisaidii, maana mtu mwenye akili anaweza kukodi ndege na zikaingiza faida kuliko anayetumia za kumiliki