Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

October 2017
Tanzania Zambia Railway (1860 KM) Long-distance passenger car train started from Dar es Salaam (Tazara station) to Zambia at 15:50 on
Source: Hitoshi Suzuki
 
Jitumeni kama hao Wakenya punguzeni porojo hamna cha kupewa kaza msuli hao sekta binafsi wako vizuri sababu wananchi wenyewe waliamua kujituma sio kukaa kulialia hio budget ataiongeza vipi kama watu kila wakati kulialia tu nchi bado ina fursa za kutosha ni watu tu kubadili upeo wao wa fikra sa hivi hamna tena kitonga kuna kichwa
 
hawajawahi kujengewa daraja la kuvuka mto wenye mamba toka kenya ipate uhuru duhhh mto huo umeua watu kibao alaf bogus wanawaza 80b GdP
sijapata kuona maisha ya kimaskini kama haya
 
magufuli anataka miradi yote mikubwa ifadhiliwe na serekali ya tanzania, yani uncle magu ananikosha sana sijui wapi anatoa pesa wakat jirani is brokeπŸ˜€πŸ˜€ anategemea mikopo tena amefkia mpaka hatua ya kukopa loan kulipa loanπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

tukumbuke jamaa ashatoa 3.16b usd kwa phase mbili za modern electric train in africa 722km

kashatoa 2b usd kwa construction of dam 2100MW na ujenzi unaendelea

kanunua ndege 7 za air tanzania no loan




Tanzania to fund its own projects
 
Ngong Forest (edge of Nairobi), look at those fine residential houses. Ushawai skia Leafy suburbs?
 
No wonder they only post cbd pictures lol. Out of that cbd ni trash
endeleeni kuokota picha google alaf museme dar as usualπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wenzako waliweka mpaka slum za siera lione na nigeria wakasema darπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Kama ingekua electric na kwenda kwa 160km/hr, ingekua safi not that snail motion of 110km/hr and dirty pollutive & expensive to run diesel engine
na haiwez fika 120km/hr ikifika hapo ujue ni vibration kwasababu reli yao ni joint bolted na sio continuous welded rail

mchina sio mtu mzuri aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
4b usd 422 km hahah aisee sijapata kuona
 
endeleeni kuokota picha google alaf museme dar as usualπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wenzako waliweka mpaka slum za siera lione na nigeria wakasema darπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
But yiou never post, mimi huona tu cbd, no shots from a distance, kwani mna aibu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…