Joke of the millennium.waheshimiwa wazima wamekwamiana kama viberiti huku wakiharibu hewa kwenye lift kisa uzinduzithey even wore their Sunday best to launch the first lift in Mbeya this is the country that is comparing itself to kenya
min you, this is a county that is trying to compete with Kenya...smhJoke of the millennium.
kibera watu hawazindui ujingaAuna jipya kibera inakusumbua
Wanazindua kunya nje siokibera watu hawazindui ujinga
No evidence no right to speakBy the way only 1% of Tanzania has tarmac roads and 92% of Dar is a Slum and not forgetting 78% of Tanzanians live i slums while 69% of Tanzanians are malnourished.
nimekwambia kibera meya haendi kuzindua liftWanazindua kunya nje sio
Na mwezi ujao tunawapokea wakenya wote jijini dar es salaam watakapokuja kuhudhuria mechi ya timu yao ya taifa ya harambee star vs. black star,baada ya viwanja vyao vya nairobi kutokidhi kanuni za fifaSasa wasibiri expansion ya dar port imalizike 2020 humu tutakimbiana 😀😀😀😀😀
Hapohapo 2019 tunapokea first phase ya the best and modern electric train in africa alaf 2020 tunapokea second phase to dom
2020 hio hio tunapokea the biggest dam in EA ambayo sasa ujenzi umeshaanza rufiji ambayo utazalisha 2100MW
Mwaka huu mwez wa 7 tunapokea ndege nne kwa mpigo kwa ajili ya Air tanzania
Mwaka huu tunapokea kinyerezi 2 ambayo itazalisha 240MW na huku kinyerezi 3 ujenzi umeshaanza
2020 tunapokea meli ya kwanza bagamoyo port ambayo phase 1 itakua imeshakamilika
2019 tunapokea meli kubwa kabisa bandari ya mtwara amabyo iko under expansion
Etc zingine ongezeeni😀😀😀😀😀
Kwahiyo meya wa kibera anazingua kunya njenimekwambia kibera meya haendi kuzindua lift
Haloo wazee kutoka failed state, mpo?By the way only 1% of Tanzania has tarmac roads and 92% of Dar is a Slum and not forgetting 78% of Tanzanians live i slums while 69% of Tanzanians are malnourished.
ebu leta picha ya uzinuzi huo tuoneKwahiyo meya wa kibera anazingua kunya nje
Sawa jobless wa kiberaebu leta picha ya uzinuzi huo tuone..sisi sio vichaa wa 1920s
Kama masaki tusneak preview of Karen....hii inashindana na kina sandton my friend or any place in Europe or north America
View attachment 720760View attachment 720761View attachment 720763View attachment 720764View attachment 720766View attachment 720767View attachment 720768View attachment 720770View attachment 720771View attachment 720772
Tupo kabisa naona mnashirikiana na Turkey a Failed state kuwajengea SGR.Haloo wazee kutoka failed state, mpo?
Kenya ranked as 'failed state'
Lamu, which is a county, might have built its first tarmac road in 2018. what do you say of a country which built its first flyover in 2018 and telling the whole world?First ever tarmac road since independence pwahahaha.. Mko chini zaidi ya LDC[emoji23][emoji23][emoji23]
First everrr?????????
Masaki ndio mswaki gani wa meno?Kama masaki tu
Hii bwana haiwezekani kutokea Kenya [emoji2] [emoji2] [emoji2]Eti Jay tuambie vizuri hapa, ni kweli Lamu ilikua haina barabara ya lami tangu Uhuru...!?!?
Hii ni aibu kwa nchi DC kama Kenya
View attachment 721719
The most interesting part is that Mbeya is actually a city, a city with one lift! Eei yawa....pthoo. Achenu aibu ndiggo ndogo. hata Migori yetu iko na lift in two buildingswaheshimiwa wazima wamekwamiana kama viberiti huku wakiharibu hewa kwenye lift kisa uzinduzithey even wore their Sunday best to launch the first lift in Mbeya this is the country that is comparing itself to kenya