Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Demu snitch sana huyu,hao ni ndugu zake kabisa na wanatumia lugha moja. afu anawarusha kwa picha za hovyo namna hiyo.

Wakenya ni waingereza kabisa sema tu watu hawajui[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] Haloo mm mwenyewe nashangaa kwa nini anawachafua Wakenya wenzake
 
Kenya everything a double double oooh! Hahahaha ati Tz wanalia njaa kuliko Kenya( This is epic).
Tz doctor to patient ratio 0.03 physicians/1,000 population...Hahahaha funny na vile mdomo kubwa ka bakuli za jela.

Tanzania: 6.025 billion kWh huu ndio umeme wa bullet train? Hahahaha

-0.5 migrant(s)/1,000 -hawa ni wale omba omba kina Mr.Nice na Ray C

Tanzania
total: 86,472 km
paved: 7,092 km
unpaved: 79,380 km (2017)- nikiwaamba 1500 km wanakula mori.

Tanzania: 6.025 billion kWh - 1350 MW ichoboy01.


Population growth rate

Kenya: 1.69% Tanzania: 2.75%
- @Mulisaa mnazaana kama panya licha ya umaskini na njaa...kwa kweli raha ya maskini ni ngono.
 
Masikini watu wa likoni hehehehe
Nchi haina pesa ya kulisha wananchi je itakua pesa ya kufanya maintenance ferries
 
Binti Mwasiti pole sana. Mbona thread ya Mombasa vs Dar haionekani??
 


hahaha....game shot.those harsh statistics are what Tanzanians hate most .....coz it works against them
 
Ile omnibus ya 31 provinces of tanganyika ilienda wapi....

I really enjoyed touring Tanzania through jf......this time I am planning on visiting southern Tanzania.....
 
that's one sober Tanzanian over here......he is a passionate photographer that one I give it to him/her.....
his page is very popular.
but please don't go there for the intention of trolling it.

let our differences be limited within jf.there is another life outside jamiiforum.
 
what is yutongπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜› watanzania sijui mtachoka lini na vitu vya kichina...hata hizo BRT wanatumia bus model gani? golden dragon ama grand tigerπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ile mikebe yenu mmeibatiza jina matatu nayo ni magari??
ficha aibu ndogo ndogo
 
ujenzi wa the modern electric train in africa ukiendelea kwa kasi zaidi
Mkurugenzi wa rahco bw kadogosa amesema mpango wa mradi huo uko palepale kufikia nov 2019 phase ya kwanza wanakabidhi...
Mpaka jana walikua wamefikia 8% ya ujenzi upande wa civil ambapo ujenzi we tuta na madaraja yaani kazi ya civil pekee inachukua 60% ya mradi mzima kwahyo Tangu waanze mradi miezi 10 mpaka sasa wanajipanga kumalizia matuta na madaraja. ..sehemu ya pili itaenda me kasi zaidi...aliongea hana na clouds fm power breakfast
 
Kenya
Roadways total: 161,452 km
paved: 14,420 km (8,500 km highways, 1,872 urban roads, and 4,048 rural roads)
unpaved: 147,032 km (2017)

Tanzania
total: 86,472 km
paved: 7,092 km
unpaved: 79,380 km (2017)
Two times the length of the roads, na bado wako hapa wanapayuka?
 
hii ndio whooping
 
Physicians/Doctors density
Kenya
0.2 physicians/1,000 population
Tanzania
0.03 physicians/1,000 population

Hospital Beds
Kenya
1.4 beds/1,000 population
Tanzania
0.7 beds/1,000 population
they have better health facilities in Tanzania they said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…