Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku ya ku launch hiyo electric SGR Magufooli atatangaza hakuna cha stima wakati treni zinafanya kazi. Jichocheni tu na hizo Megawatts kidogo mnazalisha.
Heheh magufuli kweli anawaumiza kichwa anafanya wonders😀😀😀😀😀
 
hicho kiswahili kibovu cha stima mlikitolea wapi majirani usimuone kobe kainama ujue anatunga sheria hizo megawatt tunazozalisha tutaanza kuuza mpaka nje we komaa kwa ziko kidogo mutajibeba wakat wa uzinduzi

Sina muda wa kiswahili sanifu boss. Hiyo ni kazi ya Watanzania na wa kosti wa kenya. Zalisheni umeme mjitosheleze kwanza mtauza baadae.
 
ni cha kawaida ndio but wengi wenyu mumezoea kula githeri.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nina uhakika watu wa Tanzania ndani ndani huko bara wanakula tu vyakula vya kiAfrika sio kama nyinyi wa DSM. Biryani ni chakula kigeni acha kutuchocha na vitu acquired.
 
Na ninyi kazi yetu ni kuolewa na wazungu, ndiyo sababu wanawake wenu wanalalamika hamuwapi mimba, akili za wanaume wa Kenya ni kupata bwana wa kizungu tu.

Duh, lakini si nyie watu wa DSM mnapenda sana hizi stori za ugofa. Ni vile DSM kumejaa mashoga ama nini?
 
Duh, lakini si nyie watu wa DSM mnapenda sana hizi stori za ugofa. Ni vile DSM kumejaa mashoga ama nini?
Mbona sasa unataka kuwakasirisha wenzako kwa kukataa kwamba hampendi kuolewa na wazungu?, hili ni jukwaa zuri la kujitafutia wanaume, hata sisi tunaweza kuwaoa na kuwahakikishia upatikanaji wa chakula
 
Akili za manyangau ndohizi kufikili diamond anaweza ishi Kenya
 
Kuoa kina nani?
 
Sina muda was kiswahili sanifu boss. Hiyo ni kazi ya Watanzania na wa kosti wa kenya. Zalisheni umeme mjitosheleze kwanza mtauza baadae.
Muda ulionao ni wakujifunza kiingereza ili upate bwana wa kizungu sio?, hongera sana.
 
Akili za manyangau ndohizi kufikili diamond anaweza ishi Kenya

Inawauma sana kuskia kwamba Diamond anaweza potelea Kenya. Wacha kwanza ajenge nyumba atakuwa ana spend 3/4 ya muda wake hapa Kenya. He will be running his Tanzanian businesses from the big city Nairobi aki rub shoulders na other kenyan tycoons akitaka kwenda marekani ni dakika chache tu ako airport straight to New York. haiya !
 
Muda ulionao ni wakujifunza kiingereza ili upate bwana wa kizungu sio?, hongera sana.

Nakijua kiswahili sanifu. Sanifu kabisa sidhani waweza kunishinda kwenye mtihani. Lakini hiyo kazi ya kuandika na kuzungumza kiswahili sanifu inachosha. Swahili sanifu ni lugha mwendo pole sana. I want quick stuff
 
Nina uhakika watu wa Tanzania ndani ndani huko bara wanakula tu vyakula vya kiAfrika sio kama nyinyi wa DSM. Biryani ni chakula kigeni acha kutuchocha na vitu acquired.
mungu kaibariki tanzania kwa kuwa na ardhi yenye rutuba inayozalisha kila aina ya chakula.

hatuli mizoga kama nyinyi.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…