Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bagamoyo port ujenI umeanza mwaka jana na sababu ya kuarishwa ilikua mpaka dar port and mtwara port expansio zianze na Zote Zishaanza na tegeme 2020 utaona maajabu hujawah kuyaona
Weka Picha punguza mdomo buda.
 
jamaa bakharesa mjanja sana......hiyo kitu lazima afanye ili aweze peleka watalii pale zenji kwenye mji wake fumba na ile hotel yakibabe ya 5 atar ......mshikaji ni balaa....mashariki na kati yeye ni top....hayo matunda yake kwa baadaye lazima apindue ile list ya matajiri kwa hapa africa
 
Picha za SGR usiku na Mchana, Bagamoyo na vinyerezi bado nangoja hata ingaea site tunajua hizo projects ni hewa tupu.
 
Picha za SGR usiku na Mchana, Bagamoyo na vinyerezi bado nangoja hata ingaea site tunajua hizo projects ni hewa tupu.
Wewe subiti kujifungua,na hatukupi picha ili ubaki ktk denial,siku ikimalizika nakulipia go and return uje utoe ushamba.
 
Wewe subiti kujifungua,na hatukupi picha ili ubaki ktk denial,siku ikimalizika nakulipia go and return uje utoe ushamba.
Ungesema kuwa sasa hamna ujenzi unaendelea ila mnakadiria kuanzisha ujenzi Zuma na World Bank watakapo toa mikopo kuwa ujenzi huu ila kuwa sasa mko katika harakati ya kuwafurashisha Wabongolalas.
 
Hii habari ni ya 2016 nyakati za nyimbo na mihemko kuwa SGR Tz na Pipeline zitakuwa zimekamilika by 2018...well, hebu tupe updates kadada.
kilaza it's true the article was published in 2016 but you can't ignore its content.

things that nameless said in 2016 are valid till today.our music is far ahead than yours.

we control this shit like for real.

show me any latest album from a kenyan that holds number one position on i tune in a foreign country.
[emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji122] [emoji122] [emoji23][emoji23]viva tanzania

kilaza ukishindwa kukamilisha hii assignment ndogo "nimekupea" kuanzia leo nitabadili ID yako from mwaswast to "mwasiti".
sitaki emotions just complete my assignment. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

NB:
mwasiti is swahili female name that's given to a beautiful baby girl.

refer a bongofleva female artist mwasiti. check her videos on youtube.
 
Huo muda wote ulikuwa unatafuta this BS?
 
Ungesema kuwa sasa hamna ujenzi unaendelea ila mnakadiria kuanzisha ujenzi Zuma na World Bank watakapo toa mikopo kuwa ujenzi huu ila kuwa sasa mko katika harakati ya kuwafurashisha Wabongolalas.
Hatuna nini??picha ya sgr au no yako ya nyumba???
 
Sawa inaweza kuwa Tsh 15000
Saruji
vipi Kenya Sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…