Utakuwa huwatendei haki wewe
Huwezi kuwa mzima kichwani ukafurahia maisha kama hayaNi dhambi kwa wakenya kufanya hivyo hawawezi fanya hivyo haki.
Hahahaha toa nairobi weka cape town and Pretoria. ...before you do that add daresalamFact itabaki kuwa fact.
Africa ni Lagos, Cairo, Job'borg and Nairobi.
Hahaha!!Hahahaha toa nairobi weka cape town and Pretoria. ...before you do that add daresalam
Hii kashfa sasa!!Huwezi kuwa mzima kichwani ukafurahia maisha kama haya
wewe Zuwenna huwezi Kuta nyumba ya kijinga na yahovyo kama hizo Dar es salaam
hapo si pakuishi Binadamu !!
Dar nyumba hazina mpangilio
lakini sio Uchafu wa mabati kama hayo
Dar wanajengea tofali za mchanga na siment
Unaambiwa 60% yawakazi woote wa Nairobi huishi kwenye Mabanda hayo
Nihatari kiukweli
Siyo kashfaHii kashfa sasa!!
hivi wewe unaishi nyumba gani!!
Unaweza kutuonyesha ?
Tajiri gani anakufa kwa njaa!? Kwikwikwikwi. Nenda uje tena. Wewe unabahati kuingia hata kwenye mitandao. But in reality Kenyans umasikini siyo wa sayari hii. There is no poor person in the world as person in kibera Nairobi kenya.Maskini with 6200$ millionaires?
plus GDP 33B? ???
Hizo story zakijinga unapaswa kujiongezaMaskini with 6200$ millionaires?
plus GDP 33B? ???
Wewe unaishi nyumba gani?Siyo kashfa
Jifunze kusema ukweli
hao unao waona humu ni watafuta sifa
kitu kimoja ukifahamu
mkenya hupenda sifa sana
yupo radhi Kukuambia kashiba akiwa na njaa kali
Wana maisha yakuiga sana,
utawakuta Nairobi wamepigilia Suti mfukoni hana kitu
nyumbani kibera!!
Sasa wapost humu nyumbazao za kawaida za Nairobi
Usiniulize mimiWewe unaishi nyumba gani?
He!! Basi tunaomba urudi jukwaa la siasaUsiniulize mimi
uliza Wakazi wa dar wanaishi nyumba gani!?
Nikikupostia humu nyumba yangu nayo ishi hauta kubari
sasa kubwa hapa ni tuangalie maisha halisi ya Watanzania waishio Dar
na wakenya waishio Nairobi
Uliniita mwenyeweHe!! Basi tunaomba urudi jukwaa la siasa
Unacho kisimamia nikuwa Wakazi wa dar wanaishi vizuri kuliko Nairobi?Uliniita mwenyewe
kwahiyo uliza maswali yako vizuri na polepole ujibiwe
jukwaa lasiasa ntaenda muda wowote Sipangiwi namtu