So alianza na kua star hapo hapo game ya music tanzania ni gumu sana usifkiri ni kama unaenda sokoni hehe alikutana challenges kibao mpaka kujilikana na bado anaupinzani mkali sana kwenye soko la music tanzaniaKwenda uko....nyumba huanziwa na foundation 2010 alianza foundation yake ...danganya watz wenzako
Sijona neno hate edit wewe basi uandike😀😀 mumezoea kupenda vya watuHaha soma the first sentence ata kama haga inakuuma
Acha zako...danganya watz wajingaSo alianza na kua star hapo hapo game ya music tanzania ni gumu sana usifkiri ni kama unaenda sokoni hehe alikutana challenges kibao mpaka kujilikana na bado anaupinzani mkali sana kwenye soko la music tanzania
Haha nunua miwaniSijona neno hate edit wewe basi uandike😀😀 mumezoea kupenda vya watu
Tafuta history yake youtube ndio utajua naongea nn usifanye mchezo na game la music tz ni gumu sana😀😀😀😀😀Acha zako...danganya watz wajinga
Edit wewe basi 😀😀😀 ipike na hioHaha nunua miwani
Haha tafuta miwani brathe....kama uko na insurance enda ukabuy keshoEdit wewe basi 😀😀😀 ipike na hio
😛😛😛😛 Munataka vizuri vyote viwe kwenu hahahahha
Uhahaha no neno hate sijaona 😀😀😀Haha tafuta miwani brathe....kama uko na insurance enda ukabuy keshoView attachment 718079
Yani Leo unahara povu tu....yani hakuna siku unashinda...I pity youUhahaha no neno hate sijaona 😀😀😀
Au edit basi 😛😛😛😛😛 masikini collo
Uhahahhaha kwan umepata kombe au???Yani Leo unahara povu tu....yani hakuna siku unashinda...I pity you
halafu wakenya wengi wa bara ni washamba sana, sidhani kama wanaelewa kitu kuhusu "biryani". wengi wamezoea kula githeri(makande).
Haha he is ashamed to be called Tanzanian... nai inamchanganya anadhani ako New yorkView attachment 718069
Haha diamond hataki kwao Nairobi iko moyoni mwake ..kwa album yake kuna ngoma ya reggae anasifia Kenya pekee...Tanzania anavumilia kuwa raia
Lugha ya kibiashara tuu hiyo...he's hustling...hakuna mtazania mwenye akili anayeichukia nchi yake.Diamond kaikana Nchi yake ya Tanzania wishing He was born Kenyan? Chamoto
Ila wewe jamaa mbali na kutumia simu ya itel nimegundua wewe ni mjinga sana.Haha tafuta miwani brathe....kama uko na insurance enda ukabuy keshoView attachment 718079
Githeri INA nnUkiwaona wenyewe wanavyosifia githeri na ukiwaambia wabongo hatupendi sana hayo makitu (nilikuwa "polite" kwa kusema hivyo makande ni chakula cha hali ya chini sana Tanzania) wanashangaa sana.
Ni chakula kisicho na hadhi Tanzania, watu hula wakati wa shida.Githeri INA nn
Hakuna mwanamke wa Tanzania atapenda kuolewa na mkenya, kinyume chake ndiyo ukweli halisi.
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Haya sema nikufanyie kitu gani upate faraja kidogo maana dar imekupandisha bp,na hatukuwa serious hivyo??
Kwa taarifa yako dar ombaomba wote hutolewa mjini hawatakiwi kuonekana wahudumieni watu muondokane kwenye umaskini na njaa