El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
unahasira sana na mafanikio ya diamond. pole sana ndugu.
hii hasira wala haitasaidia sanasana utaishia kupata BP ungali kijana mdogo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
binti soma hapo chini[emoji23][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Uhahaha,kweli we kilaza,hujui ombaomba wenu wamerundikana hapo Tom mboya street wakiomba mapeni na wengine ndio hao wameanza kutafuta waume.
ombaomba wa kitz nchini kenya wapo smart sana.
wana travelling documents zote zinazowawezesha kusafiri mpaka kenya.[emoji23] [emoji23]
wanachezanga mziki za kitanzania ya ku attract misaada......wanapenda kugonga chupa kwa kijiko
ushamba mzigo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kadoda kapost chakula cha msimu wa idd ul fitr kajigamba hapa.....na ni masikini ndio hupakuliwa design hiyo wakati huo....lol
povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wale nigerians chezeni mbali nao.
.....wako ligi nyingine.sikizeni chokoraa kama harmonize polepole bila kutupigia kelele
ombaomba wa kitz nchini kenya wapo smart sana.
wana travelling documents zote zinazowawezesha kusafiri mpaka kenya.[emoji23] [emoji23]
Uhahaha,kumbe mnatumwa na ******** kuja kuomba Kenya hadi mnapewa travel documents? Ghai!! sisi wenzenu tumechoka kuwapeaga mapeni kila siku ,ni lini mtakoma kuja kutuomba?
Uhahaha,kumbe mnatumwa na ******** kuja kuomba Kenya hadi mnapewa travel documents? Ghai!! sisi wenzenu tumechoka kuwapeaga mapeni kila siku ,ni lini mtakoma kuja kutuomba?
wanakuja kuomba kenya kwasababu wakenya ni wajinga. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hawawezi enda malawi,Mozambique,Uganda Rwanda au Burundi.....ni Kenya tu ndio wanamiminika lol....[HASHTAG]#Respec[/HASHTAG] the +254
hawawezi enda malawi,Mozambique,Uganda Rwanda au Burundi.....ni Kenya tu ndio wanamiminika lol....[HASHTAG]#Respec[/HASHTAG] the +254
wanakuja kuomba kenya kwasababu wakenya ni wajinga. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmeanza kujenga malls
These guys are mean,we help them a lot ,but they don't appreciate ,how I wish they should learn to appreciate what is appreciable.
hehehe umegeuza kibao sasa naona kisu kimekuingia sawasawaπππππNumber plate ya dinga haiprove that huyo masa ni mkei,check huyo ni mmoja wenu ambao hua tunahelp hapa nai.
they pretend to be good lakini even the devil takes lessons from their treacherous ways
ushahidi kua hapo dar kwa taarifa yako fukwe za dar ni safi tena kuna sheria kali sana kwa atakaetupa taka ufukweni tupe ushahidi plzπππππππhuku hatuwezi onyeshwa....lol
View attachment 717426
we know it's an LDC
diamond hamumuwezi hata king kiba hamumuwezi naomba mpeni pesa kwa wingi alete nyumban aendelee kutoa ajira zaidiππππππDiamond is trying so hard to be like wizkid or Tekno miles lakini juhudi zake zimegonga mwamba sawasawa amebaki kukaranga njugu huko darisalum town
ameua na nini??? πππππhahaha,umeua kilaza leo,eti tunaijua kama NINI?