joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sasa mbona ninyi ndiyo mumejazana na mnakimbilia kuja Bongo, Magufuli akiwafukuza mnasema Kenyans are targeted, mumeruhusu watu kuja kuishi bila kupata working permit, sisi tumekataa, ninyi ni Mexico, huku ni USA.Huku ni ulaya yao, kwani umesahau baba yao nyerere alivosema? Mtanzania akija kenya anarudi nyumbani kuambia kila mtu