Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] chizi umelogwa tena
 
Yah chief sure.....wakenya ni kinyesi kabisa
 
Tuliwaachia porojo mingi, whatever your planning ni our reality already..

Unajiona unajua sana but haujui... Nigerians, Zibabweans, Somalis,Ethiopians are flocking Jozi to start small businesses leading to xenophobic attacks.

Population is only important if it comes with Purchasing power.. China with ove 1B people is still behind USA in spending..

One day Africa will open all it's borders to other African countries. Strategic Cities will control trade.. Take it or leave it.
 
Unajua shida yako unaangalia vitu haraka haraka na unahamaki kama unapingwa tuu muda wote.. Hiyo US unayoisema against China kaangalie ripoti ya Bloomberg ...

Sio kuspend pesa nyingi kunamaanisha the market is big too. Wakati mwingine same thing could cost half a price in one area na ikawa double the price kwingine. Mfano rent in dar for commercial property down town ni around 22$per sqm. Nai iko chini ..haimaanishi uchumi wetu in super simply because nalipa pesa nyingi kwa pango!

Simply the taxes are higher in that particular area, so it does reflect on prices... Na usitake kubisha tu kwa kudandia data usizotaka kuzianalyze. Chukua muda kuzisoma ..na kuwauliza wanaojua ... Mi sio mchumi ila humu wapo wanatupa ufafanuzi mzuri sana tu.
 
while years ago dar es salaam city authority banned the use of light commercial vehicles from carrying passengers and entering the city cbd, our bitter neighbors still use them.

old version of toyota hiaces which are used as public transport is something very common in nairobi cbd.

hizi takataka huwezi kuziona zikiingia kwa cbd yetu kwa lengo la kubeba abiria, tulishatoka huko kitambo sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hapa kunatofauti kubwa sana kati ya wakenya na watanzania. Kwa watafiti nilikutana na watafiti wa kiongelea uzi huu. Wakenya wana post everyday vitu vile vile huku watanzania wakionesha vitu vingi tofauti tofauti.
 
Inegekuwa vyema sana kama mngetumia hiyo akili kutoka ldc kwanza. Ama mlirogwa na aliyewaroga kafa?

Hayo mambo ya LDC ni mambo ya kukokotoa tuu namba, mwanahisabati yeyote anaweza kubadilisha hapa na kuweka pale ili tuu kutengeneza takwimu za kupendezesha wawekezaji. Tanzania sisi sera yetu haijawahi kuwa hiyo, sisi tunataka maendeleo ya kweli, yaani kuondoa ujinga, umasikini na maradhi.

Nilipodekezea kuwa nchi yetu inaakili nilimaanisha tulianza kujenga nchi toka chini kabisa... kwenye msingi wa umoja na usawa. kutoka wahandisi (Engineer) wawili mpaka sasa tunao lukuki kama wale wanao jenga SGR. Kutoka nchi yenye makabila karibu 130 yanayoongea lunga zaidi ya 200 mpaka watanzania wanaoongea lugha moja ya kiswahili.

Hakuna nchi yeyote Afrika iliyofanya hivyo.

Mambo tuliyoyafanya hako nyuma, japo tulipata watu waliotuyumbisha, yalikuwa ya msingi ndiyo maana kwa nje tulionekana kama vile tumezubaa. Lakini sasa baada ya msingi kukamilika 'jumba' letu refu limeanza kuchomoza na wewe ni shahidi jinsi maendeleo yanayotokea katika kipindi cha miaka ya hivi ya karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…