Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nimekutajia mambo ambayo Dar imeizidi Nairobi, hivyo Dar kuwa jiji bora kuliko Nairobi, sio lazima katika size peke yake. Wewe unayedhani Nairobi is better than Dar, try to challenge my points.
 
Mimi nimekutajia mambo ambayo Dar imeizidi Nairobi, hivyo Dar kuwa jiji bora kuliko Nairobi, sio lazima katika size peke yake. Wewe unayedhani Nairobi is better than Dar, try to challenge my points.
dude hata hujielewi, umesema dar ni kubwa kuliko nairobi lakini huwezi nionyesha basi kama ni kubwa kwa size imesaidiaje dar. ni kweli ukubwa wa area hauwasaidii hata so acha kusumbua kila siku na ooh dar ni 1500sq km, so what? it doesnt matter, as a matter of fact, its a disadvantage considering all of it is covered by unplanned settlement shacks which are also referred to as slums.
 
I have had a hard time explaining this simple thing to these bongolalas. Yani wanaona ya kwamba ukuwa wa Dar in sq km in maendeleo. Viumbe vya ajabu sana
 
I have had a hard time explaining this simple thing to these bongolalas. Yani wanaona ya kwamba ukuwa wa Dar in sq km in maendeleo. Viumbe vya ajabu sana
halafu hawezi explain mbona dar ni kubwa kuliko LA na Nai lakini vumbi wanakula sio chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…