Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesahau kuweka mji wa Dar is slum ka slum kubwa kuwa zote kwa asilimia 92%.
Hahahahahahahah, waambie hao waliofanya huo utafiti na kuizawadia Kenya hizo nafasi za juu duniani. Hongereni kwa kuongoza katika hili, always Kenya leads on matters like his[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Utafiti ni wa kuicategorise Dar kama slum capital slum ama slum ilioipiku mji kiviake.
 
Utafiti ni wa kuicategorise Dar kama slum capital slum ama slum ilioipiku mji kiviake.
Kama ambavyo hadi sasa Nairobi inavyoongoza Africa kwa kuwa na slums nyingi na kubwa Africa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hahahahahahahah, waambie hao waliofanya huo utafiti na kuizawadia Kenya hizo nafasi za juu duniani. Hongereni kwa kuongoza katika hili, always Kenya leads on matters like his[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Napenda jinsi unakula mori
 
Sio kwa ubaya lakini hiyo picha inafanana na sehemu fulani kule mombasa. Simaanishi ya kwamba umeiba picha ya msa ila dar na mombasa zinaendana sawa
Mi mwenyewe nakubaliana na wewe hii picha imefanana na Mombasa cbd loh!
 
Kama ambavyo hadi sasa Nairobi inavyoongoza Africa kwa kuwa na slums nyingi na kubwa Africa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
But it's still the one of the richest and most developed cities in Africa ...in terms of GDP,infrastructure,think tanks ,multinational companies,top institutions and gated communities,posh apartments and civilized human resource.In east Africa we have no city coming even close
 
I just passed KICC and noted a Tanzanian choir with Tanzanian scarfs shooting a video over there hahaha........
mje lakini msikae sana
 
slum area ya Nairobi ni 4% .....wengine kama Dar wako 80% slum level ....hahaha
 
I just passed KICC and noted a Tanzanian choir with Tanzanian scarfs shooting a video over there hahaha........
mje lakini msikae sana
Subiri kesho na kesho kutwa utakapo zikuta album zao madukani ndio utajua walifuata location au mbinu za biashara!
 
Subiri kesho na kesho kutwa utakapo zikuta album zao madukani ndio utajua walifuata location au mbinu za biashara!
You are admitting that Nairobi is beautiful mpaka wanamuziki wako ready kuingia Kenya to shoot a music video.
 
You are admitting that Nairobi is beautiful mpaka wanamuziki wako ready kuingia Kenya to shoot a music video.
Naona hujanielewa kwasabababu akili yako ni ndogo "In joto LA jiwe voice" hao wamekuja kibiashara zaidi waweze kusambaza album zao Kwa urahisi Kwa sababu Kenya ni shamba LA bibi kwenye music industry
Nb:subiri utakapo ziona album zao kwenye maduka ndio utakapo jua
 
And that is why multinational companies choose Nairobi over Dar is slum when setting base in this region and Africa at large. Even Oxform is moving its headquarters from London to Nairobi
 
Kibera +Mathare+Korogocho +kariobangi+×+×+×+infinity =4%[emoji23][emoji23][emoji23]Kamdamganye ambae haijui iyo nbo yenu...

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nani alikuambia kariobangi ni slum.90% of houses in kariobangi are high rise apartments, just like most parts of Nairobi so nashangaa sana unapoita kariobangi slum.
 
Nani alikuambia kariobangi ni slum.90% of houses in kariobangi are high rise apartments, just like most parts of Nairobi so nashangaa sana unapoita kariobangi slum.
Unakaa kairobangi nini[emoji2] [emoji2] maana unaongea Kwa uchungu loh!
Mbwembwe zote unaishi kairobangi ! Smh!
Ngoja ni mwambie diamond akufanye watchman kwenye apartment yake kule hurlingam.
 
Unakaa kairobangi nini[emoji2] [emoji2] maana unaongea Kwa uchungu loh!
Mbwembwe zote unaishi kairobangi ! Smh!
Ngoja ni mwambie diamond akufanye watchman kwenye apartment yake kule hurlingam.
Naishi Nairobi na kariobangi iko Nairobi so how do you expect me not to know K-south and K-north? wewe ni pimbi
 
Hawa wakenya ni wachafu sana....mbona kuvaa ni zero kabisa hebu tizama hayo matambala aliyoyavaa hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…