Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

heheh alaf ujue hii thread imewafungua sana macho wakenya yani wakenya wengi fikra zao walidhani bado ni ile tanzania ya 90s
na bado mutabaki kuwa 90's kama hamutaacha kuhamisha magoli na kutoa statistics makalioni
 
na bado mutabaki kuwa 90's kama mutaacha kuhamisha magoli na kutoa statistics makalioni
hehe najua maumivu makali yamekubamba na safari hii kusuka au kunyoa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
heheh alaf ujue hii thread imewafungua sana macho wakenya yani wakenya wengi fikra zao walidhani bado ni ile tanzania ya 90s

Kabisa yani walikuwa wanatudharau sana. Lakini wameshangaa watanzania tumefanya maendeleo ndani ya miaka 10.
 
Uzi leo umedoda kwasababu Kadoda amedoda kuwadodesha hawa....

Jay kala mitini kachoshwa na ichoboy

MK254 ameona kupoteza mda tuu hapa

COLLO nae ndo hvo tena
 
Nyerere na Kenya wapi na wapi jamani? Nyerere labda aongelee Mozambique, SA, Namibia, Ghana etc huko Kenya hata hajawahi kukanyaga

Nyerere was classic and unique
Princess Elizabeth became the Queen, Queen Elizabeth when she was in Kenya
 
That's a typical Tanzanian speaking. Uelewa wenu ni finyu sana. 15 billion Tanzania shillings is equivalent to 750 million Kenya shillings. KCB makes that kind of money in about 2-3 days in profits so it's just a drop in the ocean to them. Talking of profits, would KCB and Equity still be operating in Tanzania if they weren't making profits there? That's common sense. And where do you think they are taking these profits? I need not repeat myself. If I do business in your home and make a profit of 100 shillings and give you 20 shillings as appreciation who is benefting more between the two of us? Najua kitu inawauma ni kwamba KCB is making profits out of poor Tanzanians and investing the money back home.It is not the biggest bank in this region by mistake
 
All Kenyan are fools.... Kuna mkenya mmoja namsaka nikimpata ama zangu ama zake... Alikuja dar akanizurumu iPhone na tekno moja... Sasa Kenyatta si kasema ID tu unaingia Kenya?.. Nakuja huko count ya kiavuu ndo nimeambiwa anakaa huko
 
Halafu bro you nothing bout economics... Ni bora ufunge domo hilo mana you don't know what you are talking about
 
Kenya lakini wapo vizuri kwenye freedom of speech.
Mhhh labda mwananchi Wa kawaida Serikali haina mda nao, ila viongozi wanawaua sana tu...wanakuacha uropoke ila hauchukui round, sema wao wako vizuri katika kutengeneza scene za vifo, huwezi kujua aliehusika kirahisi.. Kama sio Risasi basi utakuta kasabishiwa ajali.. Waulize hapa wakuambie .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…