Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dar hakuna udongo mwekundu go east or west hahahahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tafuta sehemu ulipoitoaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Anaokota mapicha ya kiambu anasema dar
Chizi kweli !
 
duh basi LA timu kama hiyo ndio ilo kwel!?wakati stand utd timu changa ila ina basi Mercedes benzi jipya kabisa.ngoja niitafute picha yake niitupie umu tuwacheke vizuri
hahahha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
timu changa sana tanzania ina benz gor mahia haina hata kibanda cha kukojoaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Omba msamaha huyu MTU anaheshima Kubwa sana hapa Tz na Africa nzima, Hayo maneno uliyoongea yanaonyesha Akili yako ni ndogo sanaaa.
 
Uchumi wakupika kwenye makaratasi unazani utaficha madudu yao,thubutu.Ni sawa nakua kipofu kisha unavaa miwani ili watu wakuone mzima tele wakati hali ni ile ile upofu aujifichi.
 
mnasherehekea mabasi ilhali hamna team yoyote bora,
football yenyewe mko ranked position 146(FIFA)
RUGBY ZEEERO
NETBALL ZEERO
VOLLEYBALL ZEERO
ATHLETICS ZEEEEEEERO.

So ni nini mnajua kufanya sana, UMBEA ama?
 
A sneak preview into the future...Upper Hill will be a sight to behold once Montave and Pinnacle are built. How I wish Avic was in the same location!
 
mnasherehekea mabasi ilhali hamna team yoyote bora,
football yenyewe mko ranked position 146(FIFA)
RUGBY ZEEERO
NETBALL ZEERO
VOLLEYBALL ZEERO
ATHLETICS ZEEEEEEERO.

So ni nini mnajua kufanya sana, UMBEA ama?
Sisi tunafanya michezo kuleta pesa sio ushindi just like Arsenal
 
Swali hizo headquarters zimetengeza ajira na income kiasi gani?? Pia tambua TZ sisi hatu tumii sana coca but pepsi. Nando anauza sana Dar
That's epitome of jealousy. You just wish it was in Dar es salaam. Coca cola is just a tip of an iceberg. Bado kuna zingine kama IBM, Google, UNEP, UN Office in Africa, UN-Habitat, IMF, World Bank, Microsoft, BBC, CGTN...the list is endless. All these companies and UN bodies have their global, continental or regional headquarters in Nairobi. And yes, they employ thousands of Kenyans. Alafu Pepsi ndio pombe gani? Number mtazidi kuisoma!
 
mnasherehekea mabasi ilhali hamna team yoyote bora,
football yenyewe mko ranked position 146(FIFA)
RUGBY ZEEERO
NETBALL ZEERO
VOLLEYBALL ZEERO
ATHLETICS ZEEEEEEERO.

So ni nini mnajua kufanya sana, UMBEA ama?
ume change motion as usualπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
good zimesaidia nn kenya?? ikiwa bado muna njaa, corruption, tribalism, poor slums, unemployment rate high in africaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ au ziwepo tu bila maana
 
hahaha huna ushahidi ku hapo ni wapi safari hii mumekamatikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Haka kaboy hua kananifurahisha kanakana kila kitu hata siku El Matador ataeka mamake hapa akitafuta maji huko huko mbagala utaona akikana na kuitisha ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…