Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwengine anauliza kazi ya alarm clock.....Hahaha.Lusematic....I wake up at 4 am to do online writing before dashing to work by six thirty......hii Nairobi ni kutafuta pesa ndio ilituleta.....
Wapi wewe jobless unaeshinda humu. Hii thread imekunyima usingizi
 
Twambie zimetengeneza ajira ngapi na ku raise income kiasi gani
We real want to know the real impact sio kuwa na headquarter jina
It can be anywhere but how much income do they raise in Kenya
Kenya pamoja na kuwa na HQs nyingi, lakini tumewapita kwa mbali sana katika FDI, na employment rate, tumewazidi katika Hospital bora za serikali, upatikanaji wa maji kwa wananchi, na security. Hivyo ndivyo vitu tulitegemea wafaidike navyo kutokana na uwepo wa hizo HQs.
 
Sio vizuri kuita waafrika wenzio ni wabaya hapo unakosea. Argue kwa facts matusi tuweke pembeni
 
Ati Tanzanians are beautiful....lol.natambua tu Ethiopia na Eritrea hapa east Africa kwa urembo na maybe Rwandese.......Get me a Tanzanian artist who is more beautiful than Avril or Marya....Hahaha
ha haaa....... ushapagawa
 
mwengine anauliza kazi ya alarm clock.....Hahaha.Lusematic....I wake up at 4 am to do online writing before dashing to work by six thirty......hii Nairobi ni kutafuta pesa ndio ilituleta.....
yaani kichwa yako imejawa na ukilitimbi..... huo ubongo wako hauwezi kuamka mpaka utumie alarm....

unamatatizo
 
iko wapi ile picha ya jaji mzima kaandika maandishi ya mtoto wa kindrgaten? natamani kucheka usiku huuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wewe endelea kupost render ya montave na pinnacle mengine huyaweziπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na sio 7 million its 4 million only

tanzania has 54 million
kenya has 50million
 
sisi tunataka investors kokote kwasababu tunawaekea sheria ya ajira kwa watanzania na kodi wakitimiza hayo hatuna shida ila ukienda kinyume tunakuondoa kama kina acaciaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…